Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA WANAWAKE KUJA NA MABADILIKO

Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya Trumark (katikati) Agnes Mgongo (anayezungumza,wa pili kushoto)  Elias Barnaba msanii  (wa kwanza kushoto) na  Anty Mandoza,  mratibu mkuu wa warsha hiyo. Bango lenye ujumbe wa Siku ya Wanawake Duniani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA WANAWAKE KUJA NA MABADILIKO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark (katikati) Agnes Mgongo (anayezungumza,wa pili kushoto) Elias Barnaba msanii (wa kwanza kushoto) na Anty Mandoza, mratibu mkuu wa warsha hiyo.Bango lenye ujumbe wa Siku ya Wanawake Duniani.Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Elias Barnaba, akizungumza namna atakavyowaburudisha wanawake siku hiyo.
WAKATI zimebaki siku chache kufikia kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka kuja kivingine

TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA MAGARI NCHINI KUJA KIVINGINE

Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko, Michael Kanyatta, Meneja Huduma wa kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara, Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investments, Ally Nchahaga, Meneja Masoko, Mori Bencus na Meneja kitengo cha huduma wa Vision, Dorah Raymond. Meneja Huduma wa Kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara akizungumza jambo.…

 

9 years ago

GPL

DON JAZZY KUJA NA TAMASHA LA MAVIN RECORDS

Mkongwe wa muziki kutoka Naija na mkurugenzi wa Lebo ya Muziki ya MAvin, Don Jazzy. MKONGWE wa muziki kutoka Naija na mkurugenzi wa Lebo ya Muziki ya MAvin, Don Jazzy anatarajia kuja na tamasha bab’ kubwa la kusherehekea lebo yake, Desemba 23, mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Nigeria, Don Jazzy alisema wameamua kuandaa tamasha hilo kama shukurani kwa mashabiki wao ambao wamekuwa wakiwaonyesha sapoti tangu mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.

Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April 20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya "Tanzania kwanza haki huinua Taifa",litaemdendeshwa kwa namna ya Wadau wenyewe kuchagua waimbaji,aidha iwe kutoka ndani ama nje ya nchi ikiwemo sambamba na mgeni rasmi.


Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...

 

10 years ago

GPL

TMK WANAUME HALISI KUJA NA TAMASHA LA MUZIKI IDD PILI

Muongozaji wa tamasha hilo, Ally Coco (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)pamoja na Rich One. Wanahabari wakichukua tukio. Wakisikiliza kwa makini. UONGOZI wa Kundi la Muziki la TMK Wanaume Halisi lenye maskani yao, Temeke…

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA WANAWAKE NA WATOTO MJINI CANBERRA NCHINI AUSTRALIA WAONYESHA NIA YA KUJA KUFANYA KAZI TANZANIA

sa1Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mama Elizabeth Chatham, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Caniberra nchini Australia inayotoa huduma ya Afya ya Mama, vijana na watoto mara baada ya kufika eneo la hospitali kwa madhumuni ya kujionea namna bora yautoaji huduma. Mama Salma yupo nchini Australia akifuatana na mumewe Rais Jakaya Kikwete kwenye ziara rasmi ya kiserikali nchni humo.sa2Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Wanawake nguzo ya mabadiliko

Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa amesema mabadiliko katika Taifa hili ni jambo la lazima na linalohitaji nguvu ya wanawake ili kulifanikisha kwa maendeleo ya Watanzania wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani