Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMISEMI yatoa ufafanuzi uhaba wa vyakula mashuleni

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu baadhi ya Shule za Sekondari za Bweni  zilizofungwa kutokana na ukosefu wa chakula ambapo alisema shule hizo zimefungwa kimakosa kwani Serikali imeshapeleka fedha za kununulia chakula kwenye halmashauri zote nchini. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Elimu TAMISEMI Bw. Zuberi Samataba.  Naibu Katibu Mkuu Elimu TAMISEMI Bw. Zuberi Samataba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MEGATRADE YATOA MSAADA YA VYAKULA MASHULENI


CMeneja Masoko wa kampuni ya Megatrade Ivestment Goodluck Kway kulia, akimkabidhi msaada wa vyakula  diwani wa kata ya sokoni one Michael Kivuyo kwaajili ya shule za msingi katika kata hiyo ambazo ni shule ambazo  zinaukosefu mkubwa wa chakula cha wanafunzi hali inayopeleka masomo kudorora na wanafunzi kuzimia ovyo kwa ajilii ya njaa mashuleni hali hiyo ilipelekea kampuni hiyo kujitolea msaada uliogharimu kiasi cha shilingi Milioni moja,msaada huo ni Magunia ya...

 

10 years ago

GPL

TAMISEMI YATOA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA

Waziri kutoka Ofisiya Waziri Mkuu TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia akizungumza mapema hii leo katika siku ya kwanza ya mafunzo ya Wakuu wa Wilaya wapya ishirini na saba yanayoendelea katika ukumbi wa hoteli ya St. Gaspar mjini Dodoma. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa ambaye pia ni Mkuu wa Mkoawa Mbeya Mh. Abbas Kandoro, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh. Aggrey Mwanri, Katibu Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne A. Sagini na Naibu Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhamiaji yatoa ufafanuzi ajira zilizositishwa

>Wizara ya Mambo ya Ndani imetoa ufafanuzi kuhusu ajira zilizositishwa na kusema siyo zile zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari jana.

 

11 years ago

Mwananchi

TPDC yatoa ufafanuzi mkataba wa Statoil

Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) limetoa ufafanuzi kuhusu mkataba wa uzalishaji wa gesi asilia baina ya serikali na kampuni ya mafuta ya Statoil, likieleza kuwa walioanzisha suala la kuwepo kwa ulaghai, hawakuielewa vizuri mikataba hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Idara yatoa ufafanuzi kufungwa shule

IDARA ya Elimu mkoani Dar es Salaam imefafanua juu ya kufungwa kwa shule za msingi, ikisisitiza kuwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba hautaathiri mihula ya masomo.

 

9 years ago

Habarileo

Ujiji yatoa ufafanuzi malipo ya walimu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imesema malipo ya madai mbalimbali yaliyofanywa kwa walimu wa manispaa hiyo yalifanyiwa uhakika wa kutosha na kujiridhisha kwamba waliolipwa ndiyo wanaostahili.

 

10 years ago

Michuzi

ZANTEL YATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAZEE Z'BAR

 MKURUGENZI wa Biashara wa Kampuni ya simu ya Zantel ofisi ya Zanzibar, Mohammed Mussa akizungumza katika hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula iliyotolewa na kampuni hiyo kwa wazee mbali mbali wa Zanzibar. NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Juma Khamis akihutubia wazee mbali mbali waliokua katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa vyakula vilivyotolewa na kampuni hiyo. Kulia Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya simu ya ZANTEL, Mohammed...

 

9 years ago

Mtanzania

NEC yatoa ufafanuzi utaratibu wa kupiga kura

Damian-LubuvaJONAS MUSHI NA ALLEN MSAPI (GHITBS), DAR ES SALAAM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ufafanuzi zaidi juu ya masuala mbalimbali yanayowakanganya wananchi na kuibua taharuki kuhusu upigaji kura katika uchaguzi mkuu Jumapili ijayo.

Juzi, Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva, alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kufafanua masuala yaliyokuwa yakihojiwa na wananchi kuhusu upigaji kura, taarifa ambayo nayo iliibua maswali mengine.

Moja ya suala lililoleta utata ni taarifa kuwa mtu...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru

 Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuadhimisha siku ya Uhuru ya tarehe 9/12/2015 na kusema kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani