Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANESCO kuvunjwa ili kupungua majukumu

Serikali inatarajia kulivunja Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kwa lengo la kulipunguzia majukumu na kulibakizia kazi moja ya kusafirisha umeme ifikapo mwaka 2020 ili kuondoa kero ya umeme kwa wananchi kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kuelemewa na majukumu.

Mpango huo ulitangazwa mwaka 2012 ukiwa ni moja ya mikakati muhimu ya kulikwamua shirika hilo na kuondoa kero ya umeme nchini.

Wakati wadau muhimu wa sekta ya nishati wakikutana Dar es Salaam kwa siku mbili kujadili namna ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NILAZIMA TAASISI ZA KILIMO ZIFANYE MAJUKUMU YAKE ILI KUENDELEA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dkt Geoffrey Mkamilo wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika ofisi za makao makuu ya Taasisi hiyo eneo la Makutupora Jijini Dodoma Leo Tarehe 11 Machi 2020.Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi na watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua

Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF Karume kuvunjwa

OFISI za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatarajiwa kuhama kwa muda Karume, Ilala jijini Dar es Salaam mapema mwezi ujao kupisha uendelezaji wa eneo hilo, ikiwa ni moja ya ilani...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba 5,600 kuvunjwa Dar

Vilio, simanzi, majonzi na nyuso zilizojaa huzuni vilitawala Bonde la Mto Msimbazi wilayani Kinondoni jana wakati nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria zilipokuwa zikibomolewa.     

 

10 years ago

Mtanzania

Nyumba za mafuriko kuvunjwa Dar

Jonas Mushi na Tunu Nassoro, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete ameamuru kubomolewa baadhi ya nyumba zilizojengwa juu ya karavati lililoziba na kusababisha maji kujaa kwenye nyumba za wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani, Ilala Dar es Salaam.
Akihutubia wananchi wa eneo hilo jana, Rais Kikwete alisema nyumba hizo zitabomolewa pamoja na karavati hilo kupisha maji kupita na kulijenga upya.
“Kwa sasa tunaendelea kuvuta maji yaliyojaa kwenye makazi ya watu kwa kutumia pampu lakini baadaye itabidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Idara ya Usalama kuvunjwa,Argentina

Rais wa Argentine Fernandez de Kirchner ametangaza mpango wake wa kuifunga idara ya usalama.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi yapendekeza chama kuvunjwa

 Bodi mpya ya Chama Kikuu cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (Wetcu Ltd), imependekezwa kuvunjwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwamo kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Kuvunjwa katiba kumeniondoa CCM’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Kombare-Mwiru amesema historia itamhukumu kwa uamuzi alioufanya wa kuihama CCM, baada ya kuituhumu kuvunja katiba wakati wa uteuzi wa mgombea wa urais wa chama hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani