TASWA FC SAFARINI IRINGA, ARUSHA, TANGA NA MTWARA

Yafuatayo ni majina yaliyotangazwa na bench la ufundi la timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa FC) ambayo itafanya ziara mkoani Iringa kuanzia Oktoba 3. Majina hayo yamepitishwa na kikao cha uongozi wa timu na kuamua kuyaweka hadharani kwa sababu mbalimbali.
MAJINA YA WACHEZAJI1. Mwarami Seif2. Mbozi Katala3. Edward Mbaga4. Elius Kambili5. Wilbert Molandi6. Eddo Kumwembe7. Faustine Felician8. Julius Kihampa9. Zahoro...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA



10 years ago
Vijimambo
MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE WAKATI AKIWA SAFARINI KUTOKEA JIJINI TANGA KUELEKA DAR


10 years ago
TheCitizen01 Feb
Elegant Taswa boys steal show in Iringa
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
TASWA Dar hoi Tamasha la Waandishi Arusha

Kikosi cha timu ya mchezo wa mpira wa pete ya Taswa Dar mara baada ya mechi kuisha.




Siku moja kabla ya bonanza waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha walipata fursa ya kutembelea kiwanda cha bia ya TBL Arusha hapa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo akiwa anawapa maelekezo ya jinsi kiwanda hicho kinavyoweza kufanya kazi ya kutengeneza bia kwa kutumia mashine na kompyuta.

Woinde Shizza (wa pili kushoto) nikiwa na waandishi wa habari wakongwe mara baada tu ya kuwasili ndani ya kiwanda...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
AJTC yang’ara bonanza la Taswa Arusha
TIMU ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC), kimefanikiwa kung’ara kwenye bonanza la Kanda ya Kaskazini lililoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Mkoa wa...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Uandikishaji wasuasua Mtwara, Iringa, Ruvuma
10 years ago
Michuzi
TASWA DAR HOI TAMASHA LA WAANDISHI JIJINI ARUSHA


Na Woinde shizza,ArushaTIMU ya soka ya chuo cha uandishi wa habari Arusha(AJTC) juzi walitwaa ubingwa katika bonanza la 10 vyombo vya habari mkoani Arusha huku Timu ya wanahabahari wa Dar es Salaam TASWA FC wakishindwa kutamba.
Katika Bonanza hilo, ambalo lilishirikisha jumla ya timu nane, TASWA FC) alishindwa kutamba na kushika...
11 years ago
Michuzi
JUMA PINTO MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA ARUSHA


10 years ago
Mwananchi24 Apr
Uandikishaji Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, kuanza leo