TCRA yapongeza Ushirikiano wa Vodacom na UmojaSwitch
![](http://3.bp.blogspot.com/-dhJsW2Z6_84/UzF2Pqyxy6I/AAAAAAAFWOY/DGAF2d8UOj8/s72-c/003+TCRA.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Prof. John Nkoma akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa ushirikiano wa mtandao wa ATM za Umoja na M-pesa unaowawezesha wateja wa M-pesa kutoa fedha kupitia ATM za mtandao huo nchi nzima. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Tiwssa na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja Switch Danstan Mbilinyi. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es salaam. Huo ni ushirikiano wa kwanza unaohuisha mtandao wa ATM za benki zaidi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen25 Aug
Vodacom incurs wrath of TCRA
10 years ago
TheCitizen06 May
TCRA says not aware of Vodacom-Shivacom row
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UfKGM7m-f5c/VoPanXYwgxI/AAAAAAAIPYY/oK6rN8IRnck/s72-c/IMG_9691.jpg)
VODACOM YAKIDHI VIGEZO VYA UTOAJI WA HUDUMA YA MAWASILIANO-TCRA
![](http://2.bp.blogspot.com/-UfKGM7m-f5c/VoPanXYwgxI/AAAAAAAIPYY/oK6rN8IRnck/s640/IMG_9691.jpg)
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom imekidhi vigezo vya utoaji huduma kwa wateja huku makampuni matano yakipigwa adhabu ya sh.milioni 25 kutokana kulaghai wateja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA), Dkt. Ally Simba amesema kuwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0Ez6zNJDtHI/VnKb68GKnjI/AAAAAAAINFA/KvQ5agn1xss/s72-c/003.CCBRT.jpg)
MAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-0Ez6zNJDtHI/VnKb68GKnjI/AAAAAAAINFA/KvQ5agn1xss/s640/003.CCBRT.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FZmre4Bbgac/VnKb7gCCuCI/AAAAAAAINFE/B0-ocZbZUQU/s640/001.CCBRT.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FzA-QSh-Bf4/VnKb5vr99lI/AAAAAAAINE4/P0maSBMt3Hg/s640/002.CCBRT.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nb5UQQh3DbU/VP2W7YR4PsI/AAAAAAAHJE0/m0OAq2feAG0/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom
9 years ago
Habarileo31 Oct
UN yapongeza uchaguzi Tanzania
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon, ametuma salamu za pongezi kwa Watanzania, Serikali na vyama vya siasa, kwa namna walivyoshirikiana katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kumpata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
AU yapongeza uchaguzi Nigeria
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
CHADEMA yapongeza wananchi
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Ziwa Magharibi, kimewapongeza wananchi wa majimbo na kata zote katika ukanda huo, kwa uamuzi wao wa kuwachagua wabunge na madiwani wanaotokana na...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
AAAC yapongeza kauli ya JK
KLABU ya African Ambassador Athletics (AAAC) ya jijini Arusha, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua na kusema ukweli jinsi ya kupata wanamichezo mahiri nchini, hasa wanariadha. Kwa mujibu wa taarifa...