Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tenis:Serena ni bingwa wa Wimbledon


Serena Williams 6-4,6-4 Garbine Muguruza

Serena Williams ndiye mshindi wa tuzo la Wimbledon la wanawake mwaka huu.

null
Serena Williams ndiye mshindi wa tuzo la Wimbledon la wanawake mwaka huu.

Serena alitawazwa kuwa bingwa mwaka huu baada ya kumlaza mpinzani wake Garbine Muguruza seti mbili kwa nunge katika fainali ya mchuano huo huko Uingereza.

null
Williams mwenye umri wa miaka 33 ameandikisha rekodi ya kuwa mshindi wa matuzo hayo mwenye umri mkubwa zaidi.

Raia huyo wa Marekani aliandikisha rekodi ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Serena na Venus kuchuana-Wimbledon.

Serena Williams na nduguye Venus wanatarajiwa kuvaana leo katika mchezo wa mzunguko wa nne wa mashindano ya Wimbledon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wimbledon:Serena na Sharapova nusu fainali

Serena Williams ameratibiwa kuchuana na Mrusii Maria Sharapova katika nusu fainali ya mashindano ya Wimbledon hapo kesho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Serena Williams bingwa US Open

Serena Williams, ametwaa ubingwa wa US Open baada ya kumshinda Caroline Wozniacki

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray ajipa changamoto tenis

Mchezaji nambari tatu kwa ubora duniani katika tenis amejipa changamoto katika pambano la Jumatatu

 

10 years ago

GPL

KLABU YA TENIS YA WATOTO MAZOEZINI

Kocha Ismail akiwafundisha watoto namna ya kutumia mpira wa tenisi.
Watoto wakifanya mazoezi ya…

 

9 years ago

BBCSwahili

Djokovic ambwaga Jo-Tsonga,Tenis

Mchezaji Tenis kutoka serbia Novac Djokovic amefanikiwa kumshinda Jo-Wilfred Tsonga kwenye fainali za shanghai.

 

9 years ago

BBCSwahili

Radwanska ashinda tenis Singapore

Mpoland Agnieszka Radwanska amembamiza mshindi wa Wimbledon Petra Kvitova huko Singapore.

 

11 years ago

BBCSwahili

Djokovic amzima Federer Wimbledon

Novack Djokovic alimbwaga Roger Federer na kutwaa ubingwa wa Wimbledon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Murray kucheza raundi ya pili Wimbledon

Andy Murray na Waingereza wenzake watatu wamefuzu kucheza raundi ya pili ya michuano ya tenis ya Wimbledon

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani