Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF WAFURAHIA MAFANIKIO YA LINGALANGALA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamiihirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limempongeza Mjumbe wa Shirikisho hilo na Mjumbe wa Kudumu wa Yanga Dkt Tobias Lingalangala kwa kutunukiwa shahada ya uzamivu   (PHD- Doctorate in Humanity) mwishoni mwa wiki hii.

Lingalangala ametunukiwa kutoka Chuo cga LeadImpact cha Nchini Marekani baada ya kuonesha mchango wake mkubwa kwa jamii.

Akizungumza kwa niaba ya Rais wa TFF,Makamu wa Rais Stephen Mguto amesema wamefurahi sana kuona moja ya mdau wakubwa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: TFF inataka mafanikio ya mkato kwa Mkwasa

Hakuna mtoto wa waziri anayecheza soka, hakuna mtoto wa mwanasheria anayecheza soka. Soka inachezwa na watu wanaotoka kwenye familia ambazo hazina maisha mazuri na hilo ndiyo daraja la kuelekea maisha mazuri.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100

 Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi katikati akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo juu ya mafanikio ya uongozi wake kwa siku mia moja toka waingie madarakani, Kulia ni Afisa habari wa TFF Bonifas Wambura na kushoto ni Mshauri wa ufundi Bwana Rutayunga Peregenus  Pichani ni baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo uliofanyika leo ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt Regence...

 

5 years ago

Michuzi

UONGOZI WA YANGA WAMPONGEZA DKT TOBIAS LINGALANGALA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umempongeza Mjumbe wa Kudumu na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano Dkt Tobias Lingalangala kwa kutunukiwa shahada ya uzamivu (PHD) kutoka Shirika la LeadImpact ya nchini Marekani.
Lingalangala ametunukiwa shahada ya uzamivu ya Doctorate in humanity baada ya taasisi hiyo kuona juhudi kubwa alizozifanya kwa jamii.
Akizungumza wakati wa hafla ya kumpongeza, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Dkt Mshindo Msolla amesema baada ya kupata taarifa kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

MBINU ZA MAFANIKIO : Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 2

Katika mada hii ya namna ya kudumisha mafanikio yako, wiki iliyopita nilielezea juu ya dondoo za jinsi ya kutawala biashara yako ili isitetereke na kurudi nyuma.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafurahia misaada ya TANAPA

WANANCHI wa Kata ya Gorong’a na Nyarokoba wilayani Tarime mkoani Mara, wameeleza kufurahishwa na misaada ya kijamii inayotolewa na uongozi wa Hifadhi za Taifa Nchini (TANAPA). Wakizungumza na waandishi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaika wafurahia Swaum ya Ramadhan

Huu ni mwezi wa Ramadhan.Inaelezwa kuwa hata Malaika wanafurahia mfungo huo? Baruan Muhuza anaangazia mfungo huo

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAFURAHIA UJENZI WA ZAHANATI

Na Mwandishi wetu Mihambwe

Wananchi wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Serikali kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambazo zilisimama ujenzi kwa muda mrefu.

Hayo yamejitokeza kwenye ziara aliyoifanya Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ya kufuatilia ujenzi wa Zahanati ya Mitondi iliyopo Kijiji cha Mitondi B kata ya Kitama pamoja na Zahanati ya Miuta iliyopo Kijiji cha Miuta kata ya Miuta ambapo alikuta ujenzi ukiendelea kwa kasi hali inayowafurahisha Wananchi kiasi cha kuamua kujitoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigoma wafurahia ziara ya Majaliwa

Baadhi ya viongozi na wakazi wa Kigoma, wamesema ziara ya siku tatu ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mkoani humo itaongeza ufanisi kwa watendaji na kutoa suluhisho la migogoro katika baadhi ya halmashauri nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani