Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Game kuzichapa ulingoni na rapper huyu?

1215-the-game-stitches-composite-11

The Game anaweza kupata fursa ya kumaliza beef na rapper mwenzie, Stitches bila kuwwa na hatari ya kwenda jela kwakuwa amepewa ofa ya kupanda ulingoni kuzichapa na tayari mwenzie ameshasaini makubaliano.

1215-the-game-stitches-composite-11

Damon Feldman anapromote pambano hilo la mastaa na ameiambia TMZ kuwa litakuwwa la raundi 3 na kila moja ikiwa na sekunde 90.

Wawili hao waliiingia kwenye ugomvi jijini Miami ambapo Stitches alipigwa ngumi na mpambe wa The Game na kuanguka.

Bado tarehe ya pambano hilo haijatangazwa na kama...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Rapper wa S.A Cassper Nyovest amshirikisha rapper wa U.S.A The Game kwenye album yake mpya, ‘Refiloe’

Rapper wa Afrika Kusini ametoa orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ‘Refiloe’ anayotarajia kuitoa hivi karibuni, na miongoni mwa nyimbo 14 zinazoikamilisha album hiyo imo collabo na rapper wa Marekani, The Game. Wimbo namba 14 kwenye album hiyo ya pili ya Cassper uitwao ‘Cooking in da Kitchen’ ndio aliomshirikisha The Game. Cassper ametoa […]

 

9 years ago

Bongo5

Siasa na uchaguzi vimeleta nuksi kwenye muziki, asema rapper huyu

Cliff Mitindo

Msanii wa muziki wa Hip hop, Cliff Mitindo amesema kampeni za uchaguzi za mwaka huu zimesababisha wasanii wengi kushindwa kufikia malengo waliojiwekea.

Cliff Mitindo

Akizungumza na Bongo5 leo, Cliff amesema hali hiyo imesabisha biashara ya muziki kuyumba kutokana na wateja wao wengi ambao ni mashabiki kuwa busy na siasa.

“Mwaka huu kiukweli kutokana na masuala ya kampeni biashara imeyumba. Kwa sababu kitu ambacho kilikuwa kinasikika ni siasa tu, watu walikuwa wana ratiba za kufanya mambo yao lakini...

 

11 years ago

Michuzi

CHOKORAA KUPANDA ULINGONI MAY 24

Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya Mapacha watatu Kahalid chokoraa anategemea kupanda ulingoni jumamosi ya tarehe 24 katika ukumbi wa friends corner kuzipiga na bondia chipukizi mwenye uchu wa ushindi muda wote awpo ulingoni Abdul manyenza. 
Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi ya kujenga mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka kuwaonesha kama ana kipaji kingine zaidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather kupanda ulingoni septemba

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto

 

9 years ago

Michuzi

CHEKA ULINGONI UINGEREZA NOVEMBA 7

Na Mwandishi wetuBONDIA wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka atapanda ulingoni mjini Manchester Uingereza Novemba 7 kupambana katika pambano lisilokuwa la ubingwa.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Advance Security Limited, Juma Ndambile amesema kuwa Cheka anatarajia kuondoka wiki ijayo kwa ajili ya pambano hilo.Ndambile ambaye ni meneja wa Cheka, alisema kuwa tayari msaidizi wake, Rashid Nassoro yupo nchini Uingereza akiwa na mabondia wengine wawili huku...

 

11 years ago

Mwananchi

Magia, Kiwale ulingoni Juni 7

Bondia Fadhil Magia anatarajiwa kupanda ulingoni kukabiliana na Hassan Kiwale katika pambano lisilo la ubingwa la raundi nane uzito wa Super fly, linalotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Friends Corner, jijini Dar es Salaam Juni 7 mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Bondia Tamba kupanda ulingoni Nov 22

BONDIA Ibrahimu Tamba anatarajia kupanda ulingoni Novemba 22 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam kupambana na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya.

 

10 years ago

Mwananchi

Koba: Dakika tisa ulingoni zilinipa kazi

Koba Kimanga ni miongoni mwa mabondia waliotamba na timu ya Taifa ya ngumi kati ya mwaka 1978 hadi 1998.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani