TMA yaita vijana kuadhimisha siku yao
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewataka vijana washiriki katika kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yanayoletwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Aug
Kongamano la Vijana mkoani Mbeya wakati wa kuadhimisha siku ya vijana duniani
Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.
Vijana wakisikiliza kwa makini watoa mada kaika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Mzumbe Mbeya.
Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana.
Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa.
Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...
11 years ago
Habarileo25 Mar
TMA yawapa somo vijana
VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.
10 years ago
Habarileo25 Mar
UN kuadhimisha siku ya utumwa
UMOJA wa Mataifa leo unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Utumwa kupitia Bahari ya Atlantiki.
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Tanzania kuadhimisha siku ya msanii
Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), na Katikati ni msanii nguli wa kughani mashairi nchini Mrisho Mpoto.(Picha na Maktaba).
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO
Mfuko wa Pensheni (PSPF) umedhamini siku ya Msanii Tanazania itayoadhimishwa Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City kwa dhumuni la kuwapa mafunzo wasanii ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Bongo509 Jan
Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65
10 years ago
Habarileo29 Sep
Watanzania kuadhimisha Siku ya Moyo leo
WATANZANIA wameombwa kuongeza uelewa kuhusu magonjwa ya moyo, wanapoadhimisha Siku ya Moyo Duniani leo.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sE0uJZqk76M/UxbtcAQNOTI/AAAAAAAFRK8/H5yvythy6KA/s72-c/9a66dc56985e2f5f7def2f0d1f5e67f5_XL.jpg)
Tanzania kuadhimisha Siku ya APRM Afrika
![](http://1.bp.blogspot.com/-sE0uJZqk76M/UxbtcAQNOTI/AAAAAAAFRK8/H5yvythy6KA/s1600/9a66dc56985e2f5f7def2f0d1f5e67f5_XL.jpg)
Machi 9 mwaka huu Tanzania itaungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) kuadhimisha siku ya APRM barani humu.
Akizungumza na gazeti hili Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa APRM Tanzania, Hassan Abbas alisema azimio la kusherehekea Siku ya APRM lilipitishwa Januari mwaka jana katika kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM kilichofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
“Kikao cha Wakuu wa Nchi za APRM...
10 years ago
Habarileo10 Oct
Tamwa kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike
CHAMA cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) na mashirika mengine yasiyo ya kiserikali kitaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike duniani kwa kufanya mjadala mpana juu ya kukomesha ndoa za utotoni hapa Tanzania.