Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA YAPATA TUZO YA KUWEKA KUMBUKUMBU YA MAHESABU VIZURI

Na Sultani Kipingo Taasisi za serikali, mashirika ya umma wizara na idara mbalimbali za serikali zimeshauriwa kushiriki katika mashindano ya uwasilishaji wa taarifa bora za fedha za mwaka tofauti na ilivyo sasa ambapo makundi haya yamekuwa yakishiriki kwa uchache sana na sehemu kubwa ya washiriki kuachiwa taasisi na mashirika binafsi.  Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji tuzo na vyeti kwa washindi katika uwasilishaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2014, Naibu Waziri wa Fedha,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jifunze kuweka kumbukumbu vizuri

Wiki mbili zilizopita, tulijifunza kupitia safu hii ya mbinu za mafanikio, tulijifunza kuhusu umuhimu wa kutumia muda kwa manufaa.

 

11 years ago

Habarileo

Waomba serikali kuweka kumbukumbu maeneo Baba wa Taifa aliyoyatumia

SERIKALI imeombwa kuweka alama au kumbukumbu kwenye maeneo muhimu ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyatumia katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, pamoja na kutimiza azma ya kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TRA yapata dawa uvushaji meno ya tembo

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wafanyabiashara wanaoshirikiana na watendaji wa Bandari ya Dar es Salaam kupitisha makontena ya meno ya tembo watabainika baada ya kuanza kutumika kwa mfumo mpya...

 

9 years ago

Bongo5

Yaya Toure ashinda tuzo ya BBC na kuweka rekodi mpya

Toure

Kiungo wa klabu ya Manchester City ya England na timu ya taifa Ivory Coast Yaya Toure ameshinda tuzo ya mchezaji bora Afrika inayotolewa na Shirika la Utangazaji nchini England (BBC) kwa mwaka 2015.

Toure

Toure anakuwa mchezaji watatu ambae amewahi kuchukua tuzo hiyo mara mbili akiungana na Nwanko Kanu pamoja na Jay-Jay Okocha (wote wa Nigeria) ambao waliwahi kutwaa tuzo hiyo mara mbili.

Nyota huo wa Ivory Coast amesema anajivunia kuwa mshindi wa tuzo hiyo ambayo mshindi hupatikana kwa kupigiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atoa tuzo kwawaajiri waliofanya vizuri 2014

PG4A3823

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa  pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya VODACOM ambayo iliiibuka mshindi wa jumla  katika hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3837

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na...

 

11 years ago

GPL

MJUE VIZURI RAPPER CHIPUKIZI ALIYETWAA TUZO YA KILI JUZI

Rapper chipukizi, Young Killer, aliyechukua tuzo za Kili 2013/14 katika mahojiano maalum na Global TV aliyoyafanya February mwaka huu na mtangazaji wetu Pamela. Killer (kushoto), akiongea machache mara baada ya kutwaa tuzo ya Kili mwishoni mwa wiki iliyopita. (PICHA: Makataba ya…

 

11 years ago

Habarileo

Jumuiya Tanzania yapata tuzo ya hifadhi Afrika

JUMUIYA ya Hifadhi ya Wanyamapori na Maliasili Tarafa ya Idodi na Pawaga (MBOMIPA) imejipatia Dola za Marekani 5,000, sawa na zaidi ya Sh milioni 8, baada ya kuwa moja kati ya asasi 10 barani Afrika iliyotwaa tuzo ya Ikweta.

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa mazingira nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika hivi karibuni kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Dorris Malulu akifurahia TBL kupata tuzo ya utunzaji mazingira nchini

 

9 years ago

Mwananchi

Mikoa mitatu yapata tuzo utoaji chanjo

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imetoa tuzo kwa mikoa ya Mwanza, Mbeya na Ruvuma kwa kufikia malengo yaliyowekwa ya utoaji chanjo kwa watoto na wajawazito na kupunguza vifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani