Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUCTA wataka serikali ikusanye kodi kwenye makasri

Nicholaus MgayaSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeitaka Serikali kukusanya kodi kwa watu wenye majumba ya kifahari wanayopangisha watu na taasisi mbalimbali na kulipwa fedha nyingi ikiwemo kwa dola badala ya shilingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TAWNET wataka uchunguzi wakwepa kodi kwenye sukari kuharakishwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) kimeitaka Serikali kuharakisha uchunguzi dhidi ya wafanyabiashara wanaoingiza sukari kimagendo na kukwepa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

41 wataka urais TUCTA

SIKU chache baada ya mwandishi wa habari, Dismas Lyassa kutangaza nia ya kuwania urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wajumbe wengine 40 wameelezwa kujitokeza kuwania nafasi hiyo. Habari...

 

9 years ago

Habarileo

Wataka wakalimani kwenye kampeni

WATU wenye ulemavu nchini wamevitaka vyama vya siasa kuhakikisha vinaweka wakalimani wa lugha za alama kwenye kampeni za wagombea urais, kutoa fursa kwa kundi hilo kujua sera na ahadi zinazotolewa na wagombea wafanye uamuzi sahihi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wataka haki za binadamu ziingizwe kwenye Katiba

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameombwa kusaidia kuingizwa katika Rasimu ya Katiba Mpya, ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu wakiwepo wanahabari nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli

Wadau wa sekta binafsi nchini, wameitaka Serikali iwapatie fursa zaidi za kuwekeza katika sekta ya reli ili kuendeleza biashara na kukuza uchumi wa nchi.

 

9 years ago

Habarileo

Wanawake wataka nafasi zaidi kwenye uwaziri

BAADA ya Awamu ya Tano ya Uongozi wa nchi kushuhudia wanawake wakiweka historia kushika nafasi ya Makamu wa Rais na Naibu Spika, asasi ya Mtandao wa Wanawake na Katiba, imezitaka mamlaka za uteuzi, akiwemo Rais John Magufuli kuteua wanawake katika nafasi za uwaziri.

 

10 years ago

KwanzaJamii

SERIKALI MAKINI HUKUSANYA KODI!

Na Daniel Mbega NAKUMBUKA hotuba ya Mwalimu Julius Nyerere wakati wa Mei Mosi 1995 pale kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Alisema mambo mengi sana, yota yenye maana, lakini kubwa ninalolikumbuka leo, alisisitiza umuhimu wa kukusanya kodi. Alisema wazi kwamba, hata hao IMF (Shirika la Fedha Duniani) na Benki ya Dunia, ambao ndio walioshinikiza tuyabinafsishe mashirika yetu ya umma, walikuwa wanahimiza tukusanye kodi. Na hawahimizi tukusanye kodi kwa sababu nao wamechoka kutusaidia, bali ndio...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kupunguza kodi

SERIKALI imeshauriwa kupunguza kodi katika huduma za usafiri wa anga ili watanzania wengi wamudu kuutumia usafiri huo katika shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo ulitolewa jana na Meneja Mkuu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yahamisha kodi ya simu

>Serikali imeondoa kodi ya kadi za simu iliyopitishwa na wabunge katika Mkutano wa 13 wa Bunge ambayo ililalamikiwa na wadau na watumiaji wa simu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani