Tunategemeana, tuache vita
Dunia sasa imegeuka kijiji, utandawazi ndiyo sera inayoendesha ulimwengu. Soko huria ndilo linalotamba dunia nzima kuanzia Marekani, Uingereza, Tanzania mpaka China na kote duniani, kila mtu anapigania kuwa na mtandao wa marafiki, na marafiki wengi wa biashara, wengi wanapigania kujifunza tamaduni za wengine kwa kasi ili waweze kudumu katika hii dunia maana ndiyo sera inavyosema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Jan
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Tuache kulindana, tuliokoe taifa
KILA kukicha Watanzania wamendelea kusikia taarifa mbalimbali za ubadhirifu, uzembe, utendaji usioridhisha unaofanywa na watendaji waliopewa dhamana za kuongoza ofisi za umma. Makosa haya yamekuwa yakisababisha upotevu wa fedha nyingi...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Wanangu tuache kusikilizia… Tutaumia
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Tuache ushabiki mchakato wa katiba
KATIBA ni kila kitu katika kuhakikisha ufanisi wa kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiuzalishaji, kiafya, kiutunzaji mazingira na mengine yote yanayohusu ndoto na matarajio ya wanajamii. Kwa mujibu wa Montesquieu (Cohler na...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Tuache Serikali ifanye uasi?
MJADALA kuhusu uandikaji wa Katiba mpya umekuwa kama mgonjwa mahututi anayehitaji uangalizi maalumu. Mgonjwa mahututi asipoangaliwa vizuri anaweza kufa lakini akaacha madhara makubwa kwa wanaomhudumia. Tumesikia mengi katika mjadala wa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Bara na Visiwani tuache kushambuliana
WATU ambao huingilia mambo yasiyowahusu huambiwa: ‘Pilipili usiyoila yakuwashia nini?’ Hili ni onyo wanaloambiwa watu wanaoingilia mambo yasiyowahusu na zaidi wanapojifanya ndio wahusika wakuu. Nimeukumbuka usemi huu kutokana na kusikia watu...
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Tuache matukio ya kihuni wakati wa uchaguzi
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
10 years ago
Bongo Movies19 May
Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili
AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.
1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...