Tusitafute mchawi Chalenji, tujipange upya kimataifa
Tusitafute mchawi Chalenji, tujipange upya kimataifa MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), ilifikia tamati Desemba 12 jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Rage: Tusitafute mchawi
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Kombe la Chalenji limepita, tujipange kwa AFCON 2015
MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), imefikia tamati jana mjini Nairobi, Kenya. Tanzania, kwa sura ya Jamhuri...
11 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Wananchi tujipange kulinda kura zetu
HIVI jukumu la kuwakomboa Watanzania lipo mikononi mwa nani? Leo Watanzania tunakubali kwamba tunahitaji ukombozi wa pili. Narudia kusema Waisraeli walikombolewa mara nyingi sana, na hivi Tanzania inahitajika kukombolewa kutoka...
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Tujipange vyema kwenye michezo 2014
10 years ago
Bongo Movies03 Jul
Msungu: Wasanii Tujipange Kuchagua Kiongozi Bora
MWIGIZAJI wa kiume wa filamu Stanley Msungu ‘Senator’ amewashauri wasanii kushiriki katika uchaguzi ujao kwa kujiandikisha katika daftari la kupiga kura na kumchagua kiongozi sahihi na si ushabiki kwani kuna vitu vingi kutoka kwa wasanii vinahitajika viwekwe sawa kwa jamii na wasanii pia.
“Uchaguzi wa mwaka huu una changamoto kwani haijawahi kutokea watangqaza nia wakawa wengi kama mwaka huu, kiasi kwama hata baadhi ya wananchi wanachanganyikiwa wamchague nani? Japo kwa baadhi ya wanachama...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Ilikoanzia michuano ya Kombe la Chalenji
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Cecafa yahaha kuiokoa Chalenji
9 years ago
Habarileo22 Nov
Zanzibar yaanza vibaya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes jana ilianza vibaya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Burundi katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.
9 years ago
Habarileo06 Dec
Uganda bingwa mpya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda ‘Amavubi’ bao 1-0.