Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDA kichwa ngumu Mbagala

LICHA ya zuio la mahakama na agizo la Kamati ya Mipango Miji ya Wilaya ya Temeke kuitaka Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) kusitisha ujenzi katika eneo lenye mzozo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UDA wapigwa ‘stop’ kuendeleza ujenzi Mbagala

SAKATA la mzozo wa ardhi kati ya Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) inayomilikiwa na Robert Kisena na mfanyabiashara Alex Msama limeingia katika hatua mpya baada ya Kamati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wiki ngumu CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza wiki ngumu ya kusaka theluthi mbili ya kura za wajumbe kutoka Zanzibar ili kiweze kubatilisha mapendekezo ya rasimu ya Katiba ya muundo wa muungano wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaweka ngumu

WAKATI jeshi la polisi likiimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kuzuia maandamano na migomo isiyo na kikomo iliyoitishwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama hicho kimesema kitaanza leo....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga: Kazi bado ngumu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amekiri Ligi Kuu ni ngumu na kwamba hadi sasa hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Aprili 19. Yanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Savio katika ratiba ngumu

Savio yenye ratiba ngumu wiki hii itaikabili Vijana kwenye mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta aanzisha vita ngumu

BAADA ya Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalum la Katiba kukwama kupata suluhu ya kuwarejesha bungeni wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mwenyekiti wa Bunge hilo,...

 

10 years ago

Mwananchi

JK ampa kazi ngumu Maghembe

Rais Jakaya Kikwete amemwagiza Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe kwenda kuwaeleza wananchi wa Mji wa Dumila wilayani Kilosa sababu za kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa maji na lini tatizo la kukosekana kwa huduma hiyo litapatiwa ufumbuzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uamsho wapewa dhamana ngumu

MAHAKAMA Kuu mjini Zanzibar imetoa dhamana ya masharti magumu kwa watuhumiwa wa uchochezi ambao ni viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu. Watuhumiwa hao ni Sheikh Farid Hadi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kikwete urais si kazi ngumu

WAKATI mwingine baadhi ya wanasiasa huongea vitu visivyoingia akilini kana kwamba wanaowasikiliza hawana akili za kutosha au wenye kufikiri sawasawa. Hivi karibuni, akiwa nchini China, Rais Jakaya Kikwete alitoa mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani