Ugonjwa wa Malaria wakutanisha wataalamu Afrika
Wataalamu wa Sekta ya Afya kutoka Afrika wamekutana jijini Dar es Salaam kujadiliana na kuangalia ni kwa namna gani wanaweza kupambana na magonjwa yanayoenezwa na Mbu hasa Malaria ambao umeonekana kuathiri zaidi nguvu kazi ya waafrika.
Mkutano huo ni wa pili tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi hizo za Bara la Afrika ujulikanao kama PAMCA ukilenga pia kuongeza nguvu ya pamoja ya kukabiliana na magonjwa hayo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Dawa (NIMR), Dkt Mwele Malecela anasema...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y6hyo7XZ0eF-suJwVBPgW6II4J3Uk61K3GC2EN0P2pgQcpA3FZwHgfOapZWrAnh4g2dgervoocnERvz43FOdV2I-YkRcljF4/MIMBA.jpg?width=650)
UGONJWA WA MALARIA KWA MJAMZITO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-e3hpUJ0tiRk/Xs_QMnk2x3I/AAAAAAALr54/Dp7s1rTY93oa5upBQQt5Fi2FNClgLuUKQCLcBGAsYHQ/s72-c/b3db98b9-b5f7-4b97-8509-ef24b334cda6.jpg)
UGONJWA WA MALARIA WAZIDI KUPUNGUA NCHINI
Takwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na matumizi ya vyandarua kwa wanajamii kitaifa ni asilimia 52.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya uliofanyika wilayani Chunya.
Waziri Ummy amesema kuwa Mkoa wa Mbeya, upatikanaji wa...
11 years ago
Mwananchi30 May
Tanzania inavyopania kugundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa malaria
11 years ago
Dewji Blog28 Jun
Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya Malaria kutoka Ifakara Health Institute mjini Malabo, Equatorial Guinea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dr. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa Malaria).
Rais Kikwete aliwapongeza sana...
5 years ago
MichuziWAZIRI MBARAWA ASEMA WATATUMIA WATAALAMU WA NDANI KUFUNGA PAMPU IWAPO UGONJWA WA CORONA UTAENDELEA KUWEPO
10 years ago
Habarileo13 Aug
Tanzania kuongoza Afrika wataalamu wa gesi
UTEKELEZAJI wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu wazawa wa mafuta na gesi.
11 years ago
Habarileo07 Aug
Wataalamu wahoji Afrika kutopewa dawa ya Ebola
WATAALAMU wa masuala ya ebola, wamehoji ni kwa nini wafanyakazi wa afya wa Marekani, ndio tu wanaopewa dawa za majaribio. Wataalamu watatu wa masuala hayo, wametaka dawa hizo za majaribio na chanjo, zipewe kwa watu wa Afrika Magharibi, ambako kuna mlipuko wa ugonjwa huo hatari.
9 years ago
StarTV24 Oct
Ukusanyaji takwimu Afrika yatakiwa kuzalisha wataalamu wake
Wataalamu wa Takwimu katika nchi za Afrika wametakiwa kutumia utaalamu walionao kuzalisha wataalam vijana watakaoleta mabadiliko kwa kutumia teknolojia mpya ya sayansi.
Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Albina Chuwa amesema nchi za Afrika zikikosa wataalamu wa ndani wataalam kutoka nje watachukua nafasi ya kukusanya takwimu bila kuzingatia hali halisi ya Afrika.
Mkurugenzi wa Takwimu, Albina Chuwa anasema njia zinazotumika kwa sasa katika kufanya tafiti za takwimu zinatumia bilioni...
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Maambukizi ya malaria yapungua Afrika