Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataalamu wahoji Afrika kutopewa dawa ya Ebola

WATAALAMU wa masuala ya ebola, wamehoji ni kwa nini wafanyakazi wa afya wa Marekani, ndio tu wanaopewa dawa za majaribio. Wataalamu watatu wa masuala hayo, wametaka dawa hizo za majaribio na chanjo, zipewe kwa watu wa Afrika Magharibi, ambako kuna mlipuko wa ugonjwa huo hatari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Muda wa kupeleka dawa za ebola Afrika bado'

RAIS Barack Obama wa Marekani amesema ni mapema sana kupeleka dawa ya majaribio ya ugonjwa wa ebola Magharibi mwa Afrika, ingawa Liberia imetangaza hali ya hatari nchini humo kutokana na kusambaa kwa ugonjwa huo ambao hauoneshi dalili za kupungua.

 

10 years ago

Mwananchi

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

>Ni jambo lililozoeleka kwa sabuni zenye dawa kuuzwa mitaani, badala ya kwenye maduka maalumu. Uuzwaji huu wa kiholela usiozingatia afya ya mtumiaji unaweza kuwa na athari bila muhusika kufahamu.

 

10 years ago

Mwananchi

EAC yatuma wataalamu 600 kukabili ebola

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimetuma wataalamu, madaktari na wahudumu wa afya zaidi ya 600 katika nchi za Afrika Magharibi zilizokumbwa na maambuziki ya virusi vya ugonjwa wa ebola.

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAMU WA KUTOA DAWA ZA USINGIZI KUPUNGUZA VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA UPASUAJI

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Salum Manyata  amewahasa wataalamu wa kutoa dawa za usingizi nchini kuwa wana jukumu kubwa la kuboresha utoaji wa huduma wa dawa za usingizi kwa kina mama wajawazito wakati wa upasuaji ili kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa utoaji huduma hiyo.

Dkt. Manyata ameyasema leo wakati akifungua mafunzo elekezi ya utoaji dawa za usingizi salama wakati wa upasuaji kwa kina mama wajawazito yanayofanyika jijini Mbeya kwa siku tatu na kushirikisha wataalamu...

 

9 years ago

StarTV

Ugonjwa wa Malaria wakutanisha wataalamu Afrika

Wataalamu wa Sekta ya Afya kutoka Afrika wamekutana jijini Dar es Salaam kujadiliana na kuangalia ni kwa namna gani wanaweza kupambana na magonjwa yanayoenezwa na Mbu hasa Malaria ambao umeonekana kuathiri zaidi nguvu kazi ya waafrika.

Mkutano huo ni wa pili tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi hizo za Bara la Afrika ujulikanao kama PAMCA ukilenga pia kuongeza nguvu ya pamoja ya kukabiliana na magonjwa hayo.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Dawa (NIMR), Dkt Mwele Malecela anasema...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania kuongoza Afrika wataalamu wa gesi

UTEKELEZAJI wa ahadi ya Rais Jakaya Kikwete, ya kumwachia mrithi wake mazingira ya kuongoza nchi tajiri, umeanza kutoa mwanga, ambapo Tanzania sasa inajiandaa kuongoza Afrika kwa kuwa na wataalamu wazawa wa mafuta na gesi.

 

9 years ago

StarTV

Ukusanyaji takwimu Afrika yatakiwa kuzalisha wataalamu wake

Wataalamu wa Takwimu katika nchi za Afrika wametakiwa kutumia utaalamu walionao kuzalisha wataalam vijana watakaoleta mabadiliko kwa kutumia teknolojia mpya ya sayansi.

Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Albina Chuwa amesema nchi za Afrika zikikosa wataalamu wa ndani wataalam kutoka nje watachukua nafasi ya kukusanya takwimu bila kuzingatia hali halisi ya Afrika.

 

Mkurugenzi wa Takwimu, Albina Chuwa anasema njia zinazotumika kwa  sasa katika kufanya tafiti za takwimu zinatumia bilioni...

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa mifugo Afrika wakutana jijini Tanga kujadili uzalishaji wa maziwa

Wataalamu wa mifugo kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamekutana jijini Tanga kujadili namna watakavyoweza kuongeza uzalishaji wa maziwa na bidhaa zinazotokana na maziwa kati ya nchi hizo.

Wataalamu hao wanatoka Misri, Ghana, Zimbabwe, Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania.

Tanzania ina ngombe wa maziwa laki 750, licha ya kuwa na ngombe hao lakini jamii bado imekuwa na mwitikio mdogo wa unywaji wa maziwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani FAO, mahitaji ya mtu mmoja kwa mwaka ni lita 200...

 

10 years ago

Michuzi

WAHALIFU MTANDAO WATEGEMEWA KUELEKEZA NGUVU ZAO BARANI AFRIKA - WATAALAMU

Itakumbukwa katika mkutano uliofanyika  mapema mwezi huu  jijini "CAIRO" hofu ya ukuwaji wa uhalifu mtandao unaoweza kurudisha nyuma uchumi wa mataifa ya Afrika  ulipata kujadiliwa kwa kina huku nchi ya Misri ikionyesha washiriki wa mkutano huo jitihada inayoendelea nayo katika kukabiliana na uhalifu mtandao. 

Ime ripotiwa na Mtandao wa "MGAFRICA" kuhusiana na kilichojiri katika mkutano uliokamilika jijini Johannesburg, Afrika kusini wa maswala ya usalama mitandao ambapo Bara la Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani