UHAMIAJI WANATAKIWA KUFIKIRI ZAIDI
![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3DMWYVM5zonQWPpDyeuLHIKTvpzOjiLuWekWGQ7gvV2ldSw0H18JhplSymi24YTqaePC2HOfzMRzdreii0p-m2B/chikawe.jpg?width=650)
MWENYEZI Mungu, mwingi wa rehema ni wa kushukuriwa sana kwa kila jambo tunalolitenda hapa duniani. Kwa mara nyingine ameendelea kutenda miaujiza yake na leo hii tunakutana tena kwenye safu yetu maridhawa. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Mwishoni mwa wiki iliyopita, yalitokea mambo mengi, yakiwemo uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, kitu ambacho sasa kimefungua rasmi shughuli za chombo hicho...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Uhamiaji yakusanya zaidi ya Sh44 bilioni
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MdcTyrV9dVw/XqKZAO_gsEI/AAAAAAAC310/Te1brv3QwO8elZyPeRxHyLeR9LNC19cTACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-MdcTyrV9dVw/XqKZAO_gsEI/AAAAAAAC310/Te1brv3QwO8elZyPeRxHyLeR9LNC19cTACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...
10 years ago
VijimamboMaelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xkD01DKzp4U/VQmAnaOP8zI/AAAAAAAHLSM/Tafk-bsZ7ps/s72-c/unnamed.jpg)
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Kutolala hupunguza uwezo wa kufikiri
JOHN ni mwanafunzi wa chuo, amebakiza muda mfupi kuhitimu shahada katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini. Anatumia karibu muda wake wote kwa masomo kufanya mazoezi kwa vitendo na kufanya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKsRGobia8zWGlNEpo4ktULPpz4*d9vHJZQbo06unQPNiBEt690nk*uPc3R5vPsqOu7oO8aF-lVRD7f0YkEciQh/1414128420859_wps_22_Rapper_Tyga_seen_leaving_.jpg?width=650)
TYGA AANZA KUFIKIRI NDOA NA KYLIE
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Mashine yenye uwezo wa kufikiri kitisho
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N-JcbztMtiAKNWODQ4MQ8rav4rYUGo*1KIFJYgCfcmfUp38QL5ZmfLk4Q7BybutJjakC3Zg-4iFA6JzAT7Pfkay/fikirinjeyabox.jpg?width=650)
9 years ago
Bongo517 Aug
Wasanii wa Tanzania watakaotaka kufanya show Mombasa wanatakiwa kulipa Tsh Milioni 4 ili kupewa kibali