Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJAUZITO UKUSABABISHIA KUWA NA TABIA MBADALA






Jade Sylvester mwenye umri wa miaka 25  anashindia toilet paper mwaka sasa tangia kuanza tabia hiyo ya kula karatasi za maliwatoni. Mimba ya kwanza ndiyo ilisababsiha haya yote, akina mama wengi upatwa na mikasa kama hii ya kupenda kula vitu ambavyo kwa hali ya kawaida huwa ni vigumu kufanya. Habari ndiyo hiyo Jade ubugia mizigo 8 kwa siku na anashindwa kujizuia kupenda kula mzigo huo licha ya kuto kuwa na mimba kwa sasa.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Masongange akana kuwa na ujauzito wa Davido

Aggy3Agnes Masogange.

MWANAMITINDO Agnes Masogange, amekana kuwa na ujauzito wa mwanamuziki maarufu wa Nigeria aitwaye Davido, hii ni baada ya Agnes kuandika kwenye mtandao kuonyesha upendo wake kwa mwanamuziki huyo.

image (1)Hata hivyo, Agnes amemaliza mkanganyiko huo na kuzifuta picha zote zilizoleta taharuki na kuweka picha ya mpenzi wake halisi wa kiume.
Hata hivyo, Davido bado hajatoa kauli yoyote kuhusu suala hilo.

 

11 years ago

Bongo Movies

Wema ‘akana’ kuwa na ujauzito wa Diamond! Ila afunguka haya mazito, soma hapa

Baada ya stori nyingi kuzagaa kuwa mwigizaji na mpenzi halali wa mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platinumz – Wema sepetu kuwa yu mjamztio wa wiki 7 na mimba ya msanii huyo, hatimaye leo hii mwanadada Wema ameamua kufunguka “exclusively” kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kujibu habari hizo akisema haya yafuatayo kama tunavyomnukuu hapo chini…

“Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant(mjamzito).... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT(NOT)... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uwanja wageuzwa kuwa kituo cha kubadilishia tabia Kenya

Uwanja wa michezo nchini Kenya umegeuzwa kuwa kituo cha muda cha kutibu maelfu ya watumiaji wa pombe na mihadarati.

 

10 years ago

GPL

BILA UJANJA HATA UWE NA TABIA NZURI, FIGA BOMBA HUFAI KUWA MKE!

Niwiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Nimshukuru Mungu kwa kila jambo, hasa nimshukuru kwa kunipa kipaji hiki cha kuweza kuwashauri wenzangu juu ya mambo yanayogusa maisha ya kimapenzi. Si kila mtu anaweza kuifanya kazi hii lakini naamini mimi ni kati ya wachache waliochaguliwa na Mungu kuitelekeza.
Mpenzi msomaji wangu,...

 

10 years ago

Mwananchi

JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?

Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.

 

11 years ago

Michuzi

AFANDE SELE AWAASA WASANII KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA,AWATAKA KUACHA TABIA YA KUBAGUANA.

  Afande Sele akiwa na watoto wake wawili alioachiwa na Marehemu Mama Tunda,ambao ni Tunda na Asante Sanaa wakiwa wamepozi mbele ya Camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana,Walipokwenda kwenye Arobaini iliyoanyika mtaa wa Amani mjini Morogoro. Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Mkali wa Rhymes Afande Sele akiushukuru Uongozi wa Clouds Media Group sambamba na kuwashukuru Wasanii hao waliofika kutoa mkono wa pole kwa familia ya Mama mzazi wa marehemu Mama Tunda (aliyekuwa mke wa Msanii...

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara mbadala kujengwa

Adha ya msongamano katika Jiji la Dar es Salaam imeanza kupatiwa ufumbuzi baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) kuanza kuzifanyia matengenezo barabara mbadala ambazo zitatumika kupunguza hali hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Utajiri wa hatari tiba mbadala

Ni kutengeneza utajiri kirahisi, lakini kuhatarisha maisha ya watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani