Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujerumani yasherehekea ukuta ulioanguka

Sherehe zinatarajiwa nchini Ujerumani kuadhimisha miaka 25 tangu kuanguka kwa ukuta wa Berlin.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yasherehekea miaka 50 ya Uhuru

Kenya inasherehekea miaka 50 ya uhuru walioupata chini ya utawala wa Uingereza.

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YASHEREHEKEA MAFANIKIO YAKE

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (aliyebeba kombe), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (wa pili kulia), Naibu Meya wa Manispaa hiyo, Songoro Myonge (wa pili kushoto) na viogozi wengine wa Manispaa hiyo wakishangilia na kombe la ushindi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2014 kitaifa wakati wa hafla ya mafanikio ya Manispaa hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Halmashauri hiyo, Dar es Salaam juzi.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana akikabidhi cheti cha shukrani kwa Meya wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yasherehekea ushindi dhidi ya Nazi

Waride kubwa la kijeshi mjini moscow tangu kuvunjika kwa muungano wa Usovieti linafanyika hii leo nchini Urusi.

 

9 years ago

Michuzi

TBL Arusha yasherehekea siku yao ya familia

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Arusha juzi wameungana na familia zao katika tamasha la familia( Family Day),zilizofanyika katika viwanja vya TGT, vilivyopo eneo la Kisongo,nje kidogo ya Arusha.
Aidha katika tamasha hilo wafanyakazi hao na familia zao walipata fursa ya kushiriki michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu,kuvuta kamba,mpira wa mezani,kucheza muziki pamoja na michezo mbalimbali ya watoto.
Kwa mujibu wa Mratibu wa tamasha hilo Optaty Minja,alisema kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MITINDO HOUSE YASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 7

 Sehemu ya Watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Tanzania Mitindo Houshe chini yake Mwanamitindo nguli hapa nchini,Khadija Mwanamboka wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasimamizi wao wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 7 ya kituo hicho iliyofanyika mwishoni mwa wiki,Msasani jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya watoto hao wakifurahia kwa pamoja michezo mbali mbali iliyokuwepo.
 Taswira ya mtoto akiwa kachora uso wake.
Mlezi wa Tanzania Mitindo House,Mwanamitindo,Khadija Mwanamboka...

 

10 years ago

Michuzi

Brigitte Alfred Foundation yasherehekea mafanikio ya Vijana

Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya BAF (Brigitte Alfred Foundation) na Miss Tanzania 2012,Bi. Brigitte Alfred akimtumza mmoja wa vijana wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambao wako chini ya Taasisi hiyo,aliekuwa akighani shairi alilolitunga,wakati wa hafla ya kusherehekea Mafanikio ya Vijana hao iliyofanyika leo kwenye Viwanja Makumbusho,Jijini Dar es Salaam.Taasisi ya BAF kupitia Mpango wake wa JA (Juniour Achievement) imeweza kuelimisha vijana 50 wenye ulemavu wa ngozi katika mpango wa kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

EFM YASHEREHEKEA KUTIMIZA MWAKA KWA KISHINDO

Jikekizz la nguvu la kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Radio 93.7 EFM.Mstahiki Meya wa Kinondoni, Yussuf Mwenda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila walipo kutana katika ofisi za EFM asubuhi ya leo.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Mtangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi, Dennis Ssebo akiwa na Mkurugrnzi Mkuu wa Radio 93.7 EFM, Francis Ciza.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

HOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA

 Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa ajili ya afya ya mwili na akili ambapo kituo hicho kimetimiza miaka 17 tangu kuanzishwa, mbio hizo zilianzia Mlimani City na kuishia ufukwe wa Escape One. (Picha na Francis Dande)  Washiriki wakiwa katika Jogging.

 Washiriki wakiwa katika Jogging.Wanachama wa kituo cha mazoezi ya viungo cha Home...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani