Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA tishio

HARAKATI za kujiimarisha za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) sasa zinatarajiwa kuhamia kwenye Bunge la Bajeti litakaloanza vikao vyake Mei 6, mwaka huu. UKAWA kesho wanatarajia kufanya mkutano mkubwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Habarileo

Vibaka tishio Sumbawanga

WAKAZI wa Mji wa Sumbawanga mkoani hapa waishio maeneo ya Majengo walilitaka Jeshi la Polisi kufanya doria za mara kwa mara za usiku ili kukabiliana na visa vya kihalifu vilivyokithiri sasa katika maeneo hayo. Wengi waliohojiwa na mwandishi wa habari hizi kwa masharti ya majina yao kutoandikwa gazetini, wamekiri kuongezeka kwa visa vya kihalifu katika maeneo hayo nyakati za usiku vikiwemo ukabaji , ubakaji na uvunjaji wa nyumba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio

Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa wa Ebola hautaweza kudhibitiwa kikamilifu katika kipindi cha mwaka mmoja unaokuja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado ni Tishio

wakati ugonjwa wa Ebola ukiwa hauna tiba wala chanjo,wadau wa afya wamwagiana lawama.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TISHIO UGONJWA WA EBOLA


Kikosi kazi chaanza  mafunzo maalumu
NA WAANDISHI WETUMIKAKATI ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola inazidi kushika kasi, ambapo serikali imetoa mafunzo kwa mamia ya watumishi wa afya watakaokwenda kuhudumia abiria wanaoingia na kutoka nje ya nchi.Pia vifaa ya kudhibiti ugonjwa huo vinatarajiwa kuingia nchini muda wowote, ikiwemo mashine maalumu za kutambua virusi vya Ebola ndani ya mwili, hata kama aliyeambukizwa bado hajaanza kuonyesha dalili.Kwa upande wa mafunzo, ambayo yameanza kutolewa...

 

10 years ago

Mtanzania

Ebola tishio nchini

mtanzania201014Na Waandishi wetu,Mwanza,Dar

MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.

Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda  mikoa ya Kanda ya ziwa, huku watu wakiogopa kugusana katika vyombo vya usafiri na kutumiana ujumbe mfupi wa simu za mikononi (SMS) juu ya kuchukua hadhari ya ugonjwa huo.

Mgonjwa anayedaiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo, ametajwa kuwa ni Salome Richad (17), mkazi wa Kahunda Wilaya ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uharibifu mazingira tishio

ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...

 

10 years ago

GPL

BASTOLA TISHIO DAR!

Stori:Waandishi wetu
IKIWA  imebakia siku moja kabla ya mwaka 2014 kumalizika, jiji la Dar es Salaam limejikuta likigubikwa na mauaji ya mara kwa mara, hasa ya kutumia silaha baada ya kubainika kuzagaa kwa bastola zilizo mikononi mwa watu waovu. Madaraka. Silaha hizo sasa zimekuwa kama simu za mikononi ambazo karibu kila mtu jijini Dar es Salaam anayo na hivyo kuwapa hofu kubwa wananchi  ambao hawajui lini na wapi...

 

10 years ago

Habarileo

Vipodozi tishio afya za Watanzania

Vipodozi: Baadhi vimekuwa hatari kwa maisha ya wananchi.IMEELEZWA kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania, sawa na watu milioni 31.5, wako hatarini kupata magonjwa ya ngozi, kutokana na kutumia vipodozi visivyo sahihi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani