Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN kulinda wanyamapori DRC

Watetezi wa wanyama pori wamepongeza hatua ya baraza la usalama la umoja wa mataifa kukabiliana na ulanguzi wa wanyama pori DRC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mgimwa asihi Watanzania kulinda wanyamapori

NAIBU Waziri Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa amewasisitizia Watanzania kuendelea kuwalinda wanyamapori kwa hali na mali, kwani wanyama hao ni mali yao.

 

5 years ago

Michuzi

KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES LAENDELEA KUWEKA UMUHIMU WA KULINDA WANYAMAPORI

IKIWA dunia bado inaendelea na mapambano dhidi ya mlipuko wa janga la virusi vya Corona (Covid-19) wito pia umetolewa na Umoja wa mataifa katika maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yanayoadhimishwa Juni tano kila mwaka huku kwa mwaka 2020 yakiwa yamebeba kauli mbiu ya  "Bayoanuai."

Katika maadhimisho hayo shirika la ndege la Emirates, likijua vizuri jukumu lake katika mfumo wa ikolojia kidunia limeendelea kufanya maendeleo katika kufikia malengo yake ya mazingira, ambapo limeonesha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, DRC zakubaliana kulinda Ziwa Tanganyika

SERIKALI za Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa na marafiki wengine kutoa msaada wa hali na mali katika juhudi za nchi hizo...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi wa Wanyamapori aondolewa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari, Nyalandu alisema amechukua hatua hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa kazi wa idara hiyo katika mapambano dhidi ya ujangili, yanayoendelea nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori

KATIKA kuhakikisha kunakuwa na uhifadhi endelevu wa wanyamapori nchini, serikali imetangaza kuanzisha Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori inayotarajiwa kuanza kazi mwishoni mwa mwezi huu huku makao yake makuu yakiwa mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunduki yaua askari wanyamapori

ASKARI wa wanyamapori wa kituo cha Mtemera kilichopo Pori la Akiba la Selous, Hassan Nindi (59), amefariki dunia baada ya bunduki aina ya shotgun aliyokuwa nayo kumfyatukia. Taarifa kutoka kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi wa Wanyamapori nchini aondolewa

Profesa Alexander Songorwa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wadau watetea wanyamapori London

Wahifadhi wakuu wa mazingira kutoka kote duniani wanakutana mjini London Uingereza kubuni mikakati ya kukomesha Uwindanji haramu wa wanyama pori walio katika hatari ya kuangamia.

 

10 years ago

Habarileo

Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji

ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani