Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDANI WA BODABODA ALIYENYONGWA KIVULE

Stori: Nyemo Chilongani
Dereva wa Bodaboda aliyejulikana kwa jina la Musa Wambari, 25, mkazi wa Kitunda, jijini Dar es Salaam amekutwa amenyongwa na maiti yake kutupwa katika Uwanja wa Shule ya Abdu Juma huko Kivule. Marehemu Musa na mkewe enzi za uhai wake. Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea Februari 9, mwaka huu saa 4 usiku baada ya marehemu kukodiwa na watu wawili. Imedaiwa na madereva bodaboda waliokuwa wakiegesha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kivule wajenga daraja la muda

DIWANI wa Kivule, Nyansika Ngemo, kwa kushirikiana na wananchi wake wamechanga sh 710,000 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la muda la watembea  kwa miguu baada ya daraja la Mto...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu Kivule hawana ofisi

SHULE ya Msingi Kivule jijini Dar es Salaam inahitaji sh milioni 97 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu ili kuhakikisha wanatoa elimu bora kwa wanafunzi....

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi wa Kivule wasikitishwa na Magufuli

WANANCHI katika eneo la Kivule, katika Wilaya ya Ilala wamesikitishwa na kauli ya Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kwamba madaraja yote katika Jiji la Dar es Salaam, sasa yanapitika, wakati eneo la Kivule bado halipitiki, baada ya kuharibiwa na mvua wiki iliyopita.

 

10 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamisemi iwaondolee kero wakazi Kivule

HIVI karibuni wawakilishi wa wakazi wa Kata ya Kivule, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam walipataza sauti wakiilalamikia serikali kupuuza maombi yao ya kutaka kata yao igawanywe, ili kurahisisha upatikanaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kivule walia na viongozi Ukonga

WAKAZI wa Kata ya Kivule jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kusikiliza kilio chao na kuwaondolea kero ambazo zimedumu muda mrefu katika Kata hiyo. Akizungumza na Waandishi wa...

 

10 years ago

GPL

DARAJA LA KIVULE DAR HATARINI KUKATIKA

Daraja linalolalamikiwa na wakazi wa eneo la Kivule jijini Dar. Watembea kwa miguu pamoja na gari wakionekana kupita katika daraja hilo.…

 

9 years ago

Michuzi

Kivule Veterani yaibuka kidedea mbele ya EFM

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani iliyochezwa wikiendi hii huko Ukonga, Dar es salam, ilimalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili wakati  Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani  ambao waliutumia vyema  uwanja wao wa nyumbani Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Soud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani.Picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani