Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDANI WA PROFESA ALIYECHINJWA

MATUKIO ya ukatili wa kutisha yanazidi kushika kasi kila kona ya nchi,  safari hii hofu imetanda kwa baadhi ya wakazi wa Dar ambapo Profesa maarufu aliyefahamika kwa jina la Joseph Minja, mkazi wa Makonde eneo la Mbezi-Beach anadaiwa kuuawa kwa kuchinjwa kinyama kisha mwili wake kukutwa kwenye  friji , Risasi Jumamosi lina undani kamili. Profesa maarufu anayefahamika kwa jina la Joseph Minja, mkazi wa Makonde eneo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ACT Walia Kiongozi wao Kuuawa......Ni yule Aliyechinjwa Kinyama na Kupikwa kwenye Sufuria kama Nyama ya Kuku

CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani Mlele mkoani Katavi, Christian Kahongo.Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, ilieleza kuwa chama hicho kinalaani mauaji hayo ya kinyama ambayo hayaendani na haki za binadamu.Alisema walimkata kichwa na kukitenganisha kabisa na kiwiliwili...

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

11 years ago

GPL

UNDANI STAA WA ISIDINGO...

Marehemu Lesego Motsepe ‘Lettie Matabane’ enzi za uhai wake. Sifael Paul na Mtandao
KIFO cha staa aliyekuwa mwingizaji wa shoo ya runingani ya Isidingo ‘The Need’, Lesego Motsepe ‘Lettie Matabane’ kimeibua vilio kwa ‘Wasauzi’ ikielezwa chanzo ni ugonjwa hatari wa Ukimwi, huu ndiyo undani kamili. Lettie Matabane aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 40, alikutwa na kaka yake,...

 

10 years ago

GPL

UJUE UNDANI WA MEZ B

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva aliyekuwa akiwika na kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ amefariki dunia asubuhi ya leo majira ya saa 4:30 mjini Dodoma.Hii imekuwa ni pigo la pili kwa kundi la Chamber Squad kupoteza memba wake baada ya awali kumpoteza Albert Mangweha ‘Ngwear’.Katika makala haya yanauelezea undani wa Mez B mpaka kufikia umauti. Mez B akiwa katika moja ya mahojiano na kituo...

 

9 years ago

GPL

UJUE UNDANI WA BIASHARA YA MNADANI!

NI Jumatatu nyingine tena napenda kukukaribisha katika safu hii maalum ya Ujasiriamali. Wiki iliyopita tulizungumzia namna ya kuanzisha biashara ya genge hivyo kuwaamsha walioamini kuwa hawawezi, leo nitazungumza nanyi wasomaji wangu kuhusu biashara ya kuzunguka minadani. MNADA NI NINI? Hii ni sehemu maalum iliyotengwa na sekta husika, wananchi au wanakijiji wa sehemu husika kwa ajili ya wafanyabiashara wa bidhaa tofauti na...

 

11 years ago

GPL

UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI

Stori: Shakoor Jongo WIKIENDI iliyopita haikuwa njema kwa mtangazaji Ephraim Kibonde baada ya kutupwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar kwa msala wa kudaiwa kugonga gari na kutoa lugha ya matusi, Ijumaa Wikienda lina full stori. Mtangazaji Ephraim Kibonde akidhibitiwa na Polisi wa usalama barabarani maeneo ya Mwenge. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini cha habari ambacho kimeshuhudia sakata hilo...

 

11 years ago

GPL

UNDANI WA BODABODA ALIYENYONGWA KIVULE

Stori: Nyemo Chilongani
Dereva wa Bodaboda aliyejulikana kwa jina la Musa Wambari, 25, mkazi wa Kitunda, jijini Dar es Salaam amekutwa amenyongwa na maiti yake kutupwa katika Uwanja wa Shule ya Abdu Juma huko Kivule. Marehemu Musa na mkewe enzi za uhai wake. Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea Februari 9, mwaka huu saa 4 usiku baada ya marehemu kukodiwa na watu wawili. Imedaiwa na madereva bodaboda waliokuwa wakiegesha...

 

11 years ago

GPL

UNDANI KIFO CHA MANDELA

SIYO habari tena, kwani dunia nzima inajua kuhusu kifo cha shujaa wa Afrika, nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, komredi aliyefungwa jela miaka 27 akitetea usawa baina ya wananchi wa Afrika Kusini, Nelson Rolihlahla Mandela.
Risasi Jumamosi, kwa msaada wa vyanzo mbalimbali, linamulika kwa undani chanzo hasa cha kifo cha Mandela, aliyefikwa na mauti usiku wa kuamkia jana, Desemba 5, mwaka huu akiwa na umri wa miaka 95. ...

 

11 years ago

GPL

Undani ajali ya Yanga jana!

Na Richard Bukos, Morogoro
WACHEZAJI na viongozi wa benchi la ufundi la Yanga, jana walikumbwa na dhoruba baada ya basi lao walilokuwa wakitoka nalo mkoani Morogoro kupata ajali eneo la Mikese mkoani hapa. Basi hilo lilipofika maeneo hayo wakati Yanga ikitoka kusuluhu na Mtibwa juzi, lilijikita nje ya barabara na kulalia upande wa kushoto wakati dereva wa basi hilo akijaribu kulikwepa basi moja lililokuwa likitokea mbele yake....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani