Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upunguzwaji Wafanyakazi Acacia  Serikali yaombwa kunusuru  ajira zao

 

Chama Cha wafanyakazi wa Tasnia ya Nishati na Madini nchini NUMET  kimeiomba serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dokta John Pombe Magufuli  kuingilia kati  na kunusuru ajira za wafanyakazi zaidi ya 1000 wanaotarajia kupunguzwa mwishoni mwa mwaka huu katika Kampuni ya ACACIA

Chama hicho kimelazimika kuiomba serikali kutokana na kitendo cha kampuni hiyo kuandaa mpango wa  kupunguza wafanyakazi ambao wanategemea kuendesha maisha yao kutokana na kufanya kazi katika mgodi huo

Katibu mkuu wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.


Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI 350 WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MAHONDA WAKOHATARINI KUPOTEZA AJIRA ZAO.

 Baadhi ya Miwa iliyoteketea kwa moto kutokana na hujuma iliyofanywa na Watu wasiojuilikana huko kwenye mashamba ya Miwa ya Kiwanda cha Sukari Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa Pole Meneja wa Mradi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Bwana Tushar Mehta kufuatia watu wasiojuilikana kutia tena moto mashamba ya Miwa Mahonda.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa ruzuku Skauti

SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kuwabana waajiri

Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali yaombwa kutofunga misikiti Kenya

Hali imetulia mjini Mombasa baada ya ghasia kuzuka polisi walipovamia msikiti mmoja ambapo walidai kuwa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya itikadi kali za kiisilamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa yaombwa kupunguza pembejeo

>Wakulima wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda wilayani Lushoto, mkoani Tanga, wameomba Serikali kuwapunguzia gharama za pembejeo za kilimo ili walime kisasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa kusaidia chakula Ngorongoro

SERIKALI imeombwa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha inasaidia wananchi waishio katika Tarafa ya Ngorongoro ambao hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa chakula na kuchangia mahudhurio duni ya wanafunzi shuleni. Ombi...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha

Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani