Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Kutazama sana TV kunasababisha magonjwa haya

couple-watching-tv-mainUtafiti mpya unaohusishwa na utazamaji wa TV uliopitiliza ufikao saa nane kwa siku unaweza kusababisha magonjwa hatari kama saratani, ugonjwa ini na Parkinson’s (kutetemeka). Watafiti kwenye taasisi ya taifa ya saratani, Michigan Marekani walibaini kuwa wale wanaotazama TV kwa saa tatu na nusu kwa siku hawapo kwenye hatari pekee ya kupata saratani au magonjwa ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Kunyamba kunazuia magonjwa

Wanayansi wanasema wamegundua harufu mbaya kama vile ya kunyamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Haya ni magonjwa saba hatari yanayodhibitiwa kwa chanjo (2)

Katika mfululizo wa makala hizi za chanjo muhimu za magonjwa, leo maelezo yatajikita kwenye magonjwa matano, pepopunda, kifaduro, dondakoo, surua na homa ya ini.

 

10 years ago

Michuzi

Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa mengi na ajali yanachangiwa na matumizi ya pombe

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa ya kifua Kikuu , Ukimwi ,Kansa pamoja na ajali zinachangiwa na matumizi ya pombe kwa kiwango cha juu, na vijana ndio waathirika wakubwa kutokana na kutokuwepo kwa sera ya matumizi ya pombe.
Utafiti huo umetolewa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu –Kituo cha Mwanza (NIMR),uliofanywa katika Mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza na ambao ulilenga vijana kuanzia Miaka 15-24.
Wakizungumza katika semina ya wadau wa masula...

 

9 years ago

Michuzi

HALFA YA KUFUNGA KONGAMANO LA 29 LA SAYANSI LILILOANDALIWA NA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donald Mmbando akizungumza na wanasayansi wa magonjwa ya binadamu wakati wa hafla ya kufunga kongamano la 29 la Kisayansi lililoandaliwa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu ili kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti za tiba katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. (Na Mpiga Picha Wetu).

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NI MUHIMU SANA MFANYABIASHARA/MJASIARIAMALI/MNUNUZI WA BIDHAA KUYAJUA HAYA.

Na  Bashir  Yakub

Ipo  sheria moja  iitwayo  Sheria  ya Uuzaji  wa  bidhaa Sura  ya 354. Ni  sheria  ambayo  hutoa majibu  ya  miamala ya  kibiashara  hasa  kwa namna  ya  kimikataba. 
Ni  muhimu  sana  kwa  wajasiriamali  kujua  mambo  yaliyo  kwenye sheria  hii  ili  kuepuka  migongano  na  migogoro  ya  kibiashara.
Sheria  hii hueleza  jambo  fulani likitokea  hivi  kati  ya  muuzaji  na  mnunuzi  nani  ana  haki  na mengine  mengi  kama  nitakavyoonesha  hapa. Ili  ujumbe  kufika  vyema ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) watembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital”!!

DSC_2982

Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa  wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa  na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

[DODOMA] Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) kipo katika mkutano wake mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

MAZINGIRA HAYA NI MABAYA,NI MAGUMU NA YANAUMIZA SANA KISAIKOLOJIA,MTU ASIOMBE KABISA KUKOSA UHURU WA KUTOKA NDANI-TOGOLANI

Utangulizi
Nianze ujumbe wangu kwa kutangaza maslahi binafsi. 
Hapa nilipo, hii ni wiki ya pili tunamaliza tukiwa chini ya “total lockdown”. Nchi nzima tunalazimika kukaa ndani muda na hatujui tutatoka lini. Sina hakika na watu wengine waliowahi kuishi mazingira ya aina hii, ila niseme kwa ujasiri kabisa kwamba mazingira haya ni mabaya, ni magumu, na yanaumiza sana kisaikolojia. 
Muda mwingi huwezi kufanya lolote la maana kwa kuwa unakua kama umepoteza "network". Mtu asiombe kabisa kukosa uhuru...

 

9 years ago

Bongo5

Kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha wajanja wachache kunufaika — Nikki Wa Pili

Rapper wa Weusi, Nikki Wa Pili amesema kuwa kukosekana kwa umoja wa wasanii kunasababisha mambo yao mengi kuzorota. Akiongea na Planet Bongo ya EA Radio, Nikki amesema ni lazima wasanii watambue umuhimu wa kutengeneza umoja wao utakaowasimamia na kuwasemea. “Umoja ni kitu cha msingi, kwa sababu bila umoja mambo mengi ya wasanii yatazorota, na kutokuwepo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani