Video ya Diamond alivyojitokeza mbele ya watu wake maeneo ya Karume sokoni Dar
Diamond Platnumz alijitokeza mbele ya fans December 22 2015 ikiwa ni siku chache zimebaki ili akafanye show ya Xmas Dar Live Mbagala na kwa mara ya kwanza ataonyesha kazi kwenye stage na wimbo wake wa ‘Utanipenda’ ? tazama hii video hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Video ya Diamond alivyojitokeza mbele ya watu wake maeneo ya Karume sokoni Dar appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Mar
Video: Paris Hilton akiigiza kupata ‘orga*m’ mbele ya umati wa watu
9 years ago
Bongo502 Oct
Baghdad atahadharisha watu wasijekuelewa vibaya wimbo wake ujao ‘Ninae’, amewataja Diamond na Alikiba
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3DTEhRAn2PM/U8bntBMMmJI/AAAAAAAClk0/NdjgBcY5dbw/s72-c/13.jpg)
THT YAANDAA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH,AZINDUA VIDEO MPYA MBELE YA MASUPASTAA KIBAO JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-3DTEhRAn2PM/U8bntBMMmJI/AAAAAAAClk0/NdjgBcY5dbw/s1600/13.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LGuH7vxjOkM/U8bn2HBso9I/AAAAAAACllc/OgPLiPnj1d4/s1600/18.jpg)
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Diamond alivyokonga nyoyo za mashabiki wake Dar Live
Staa wa Bongo fleva Diamond Platinumz akiimba kwa hisia.
….Akicheza kwa mbwembwe.
….Akicheza na madansa wake.
Diamond Platinumz akiwaimbisha mashabiki wake.
Msagasumu akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika kwenye ukumbi wa Dar Live.
….Akizidi kuwarusha.
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Shambulizi sokoni Gaza laua watu 15
9 years ago
Bongo503 Dec
Video: Harmonize autafuta ustaa kwa njia alizopitia bosi wake Diamond?
![12317459_411872465678262_2113634085_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12317459_411872465678262_2113634085_n-300x194.jpg)
Tunajua kuwa Diamond ni msanii mwenye kipaji, anayejituma na nidhamu yake ya kazi inaweza kuhamisha milima, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa uhusiano wake na wasichana maarufu ulimsaidia kumpa jina.
Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate, Zari na wengine ambao hatukuwahi kuthibitisha, wamelijenga zaidi jina lake, na of course, yeye pia amewapa fursa hiyo pia.
Inaonekana kuwa Harmonize anaanza kutumia njia za bosi wake pia kutafuta tobo.
Hivi karibuni muimbaji huyo wa Aiyola amekuwa...
9 years ago
Michuzi23 Dec
Diamond awakaribisha mashabiki wake Dar Live X-mas hii
Diamond anayetamba na ngoma ya Utanipenda ameyaongea hayo leo kwenye mkutano maalum uliofanyika Karume, Dar ambao ulihusisha waandishi wa habari na wapenzi wa muziki kwa ajili ya kuzungumzia shoo hiyo kubwa kuliko inayojulikana kama Funga Mwaka...
10 years ago
GPL27 Dec