Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar.
Hofu ilitanda jana katika kiwanda cha MM Steel cha jijini Dar es Salaam, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa mashine ya kusajili wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR) inatumika kuandikisha wafanyakazi katika kiwanda hicho.
Kutokana na hofu hiyo, baadhi ya maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Mwanasheria wa chama hicho, John Mallya, Polisi na Tume Taifa ya Uchaguzi (Nec), walifika kiwandani humo na kufanya upekuzi ikiwamo kuondoka na baadhi ya vifaa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Oct
Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar.
Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar. friday,october 9,2015 Hofu ilitanda jana katika kiwanda cha MM Steel cha jijini Dar es Salaam, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa mashine ya kusajili wapigakura kwa mfumo wa […]
The post Vifaa Kama BVR Vyanaswa Vikiandikisha watu Jijini Dar. appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
MichuziVifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya
Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.
Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...
11 years ago
GPLVIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR
9 years ago
GPLNEC: VIFAA BVR FEKI
9 years ago
Michuzi10 Oct
NEC:VIFAA VILIVYOKAMATWA SIO BVR, WALA HAVIHUSIANI VYOVYOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
10 years ago
Mwananchi11 Jun
BVR Isiwanyime fursa wanafunzi wa vyuo vikuu kama 2010
10 years ago
Vijimambo07 Apr
BVR zawasili Dar.
Hatimaye mashine 248 za kisasa za kuandikisha wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mfumo wa elektroniki wa Biometric Voters Registration (BVR) zimewasili nchini, ili kuongeza kasi ya mwenendo wa mchakato huo, ambao umekuwa wa kusuasua.
Kusuasua kwa mchakato huo ulioanza mkoani Njombe, Februari 23, mwaka huu kabla ya kusimama, kunatokana na mashine 250 za awali za kuandikisha wapigakura zilizokuwa...
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
BVR zakera Dar
MCHAKATO wa uandikishaji wapiga kura kutumia mfumo wa kielektroniki (BVR) ulioanza jana jijini Dar er Salaam, umeonekana kusuasua huku baadhi ya vituo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na vifaa kuharibika au kuchelewa kufika, anaripoti CHRISTINA MWAGALA, Dar.
Raia Tanzania jana lilitembelea vituo kadhaa jijini hapa ambapo katika Kituo cha Shule ya Msingi Umoja, Mabibo wilayani Kinondoni, kati ya mashine nane zilizokuwapo, ni nne tu zilizokuwa zikifanya kazi baada ya nyingine...
10 years ago
Vijimambo23 Jul
Mauzauza ya BVR yahamia Dar
By Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni...