Vijana wengi watamani kujiua Uingereza
Na Mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa idadi ya watoto wanaofikiria kujiua imeongezeka ghafla nchini Uingereza hali inayoonyesha kuwepo ongezeko la asilimia 116 kulinganisha na kesi zilizorekodiwa katika kipindi cha kati ya mwaka 2010 na 2011.
Taasisi ya utoaji huduma za ushauri ya childline imeripoti kuwa imepokea simu 34,000 katika kipindi cha kati ya mwaka 2013 na 2014 za vijana wa kiingereza wenye umri wa chini miaka 18 ambao wamekuwa wakifikiria kujiua.
Karibu vijana wote chipukizi 6,000...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Uingereza:Kujadili mswada wa kujiua
10 years ago
Bongo523 Sep
Kwa Uingereza Alikiba ana mashabiki wengi kuliko Diamond — Promota
10 years ago
Habarileo28 Nov
Vijana wengi waajiriwa bila mikataba
ASILIMIA kubwa ya vijana walioajiriwa bila kuwa na mkataba wa kazi, imebainika wanaridhika na hali hiyo. Hayo yamebainishwa katika utafiti wa kuangalia kipindi cha mpito cha kijana wa kike na wa kiume kuingia katika soko la ajira, uliofanywa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) hapa nchini sambamba na nchi zingine 28 za Afrika.
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Kujitoa uhai:Vijana wengi wamo hatarini
10 years ago
Habarileo22 Nov
Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Tamasha la Msafara lafana Ifakara, vijana wengi wajengewa uwezo wa kutimiza ndoto zao
Baadhi ya vijana wakiwa wanaendelea kufanya usafi maeneo ya Uwanja wa Taifa wa Ifakara eneo ambapo Tamasha hilo la Msafara lilifanyika.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Yahya Naniya(aliyevaa miwani) akiwa katika ushiriki wa kufanya usafi kaika uwanja wa Taifa wa Ifakara
Mwenyekiti wa Maandalizi wa Msafara kutoka TYDC James Isdore akielezea maana ya msafara kwa wakazi wa Ifakara
Baadhi ya wakazi wa Ifakara wakiendelea kusikiliza kinacho endelea
Mbunge wa Kilombero...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Vijana wengi wapata mafunzo juu ya maisha na kujiajili katika Kongamano la Msafara lililofanyika UDSM
Msanii wa sanaa za Maonesho Vanensia Shule, ambaye pia ni Mkufunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa sanaa na Filamu akielezea jinsi Sanaa inavyoweza kumkomboa kijana na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-T34Tk2k1iLU/XmJey8EuYWI/AAAAAAALhlU/0KAwcfgtxOsezi1bGx9wEGgks4vqY0GrwCLcBGAsYHQ/s72-c/cc5c3b1c-fe1f-4d84-97bb-a1a1d9192272.jpg)
TACAIDS YASEMA KILA BAADA YA SAA MOJA WATU TISA WANAAMBUKIZWA UKIMWI, WENGI WAO NI VIJANA
TAKWIMU za maambukizi ya Ukimwi nchini Tanzania kwa sasa yanayonesha kuwa kwa mwaka kuna maambukizi mapya 72000 na kwa siku kuna maambukizi mapya ya watu 200 na hivyo kufanya kila saa moja kati ya watu nane hadi tisa wanaambukizwa ugonjwa huo.
Akizungumza leo Machi 6 mwaka 2020 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania(TACAIDS) Dk.Leonard Maboko amefafanua mwaka 2016 hadi mwaka 2017 ulifanyika utafiti na kubaini kwa mwaka kuna...