Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikao, mikwara, vitisho vimeiua Yanga

Vikao virefu, vitisho vya wazee pamoja na baadhi ya viongozi wakiwatuhumu wachezaji sita kuhujumu timu hiyo vimetwaja kuwa ni sababu ya Yanga kufungwa na Simba juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wapigana ‘mikwara’

BARAZA la Wazee wa Klabu ya Yanga, limewataka wanachama wanaousakama uongozi kuacha mara moja, kwani uamuzi ulioamuliwa na wanachama kwenye mkutano mkuuu wa mabadiliko ya katiba ni halali. Katika mkutano...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Trubadour FT Domokaya — Mikwara

Wimbo mpya wa rapper Trubadour unaitwa “Mikwara” amemshirikisha Domokaya.Studio Bantu Music,Producer BY No Future Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha mpya Toto Africans aanza kazi kwa mikwara

Kocha mkuu wa Toto Africans, Martin Glerics amewaambia maneno machache mashabiki wa timu hiyo kuwa amekuja nchini kufanya kazi na anataka kuing’arisha klabu hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

Na Sultani KipingoKocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na wanahabari kwa mara ya kwanza leo, akisema kuwa klabu hicho cha Old Trafford ni kikubwa duniani isipokuwa inabidi wajipeleleze upya kufuatia kuboronga katika msimu uliopita.
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumechoka na vitisho hivi

MARA kwa mara watendaji na viongozi wa serikali wamekuwa na tabia ya kutoa vitisho na wakati mwingine kuvifuta na kuvifungia vyombo vya habari. Tabia hii kwa kiasi kikubwa imechangia kukifisha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vitisho kwenye mkutano wa Syria Geneva

Waziri wa mambo ya nje wa Syria, Walid Muallem, ametoa tisho la kujiondoa kwenye mazungumzo ikiwa hakuna hatua zitakazokuwa zimefikiwa Jumamosi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chalaani vitisho ufujaji na urushi

BAADA ya Joni Kombo kuchafua hewa kwa kutishia kwenda msituni kupigania upuuzi, kijiwe leo kimekaa kama kamati ya kulaani upuuzi huu. Pia kinalaani kauli mbili za Njaa Kaya za kudai...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM watakiwa kuacha siasa za vitisho

mgNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja, amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho kuheshimu haki za wanachama na kuacha siasa za kibabe na kibaguzi kwa kuchunga kauli zao.
Pamoja na hilo, amewataka viongozi hao kutambua hakuna mtu mwenye hatimiliki ndani ya chama hicho ila kila mwanachama ana haki sawa ya kukipigania na kukijenga wakati wote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mgeja alisema kumekuwa na mambo machafu...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu aingia ofisini kwa ‘vitisho’

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia ofisini kwa mara ya kwanza jana baada ya kuapishwa juzi na Rais Jakaya Kikwete huku akitangaza kuanza na watumishi wote walioidhalilisha Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kujihusisha kwa njia moja ama nyingine na majangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani