Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikwazo wanavyokutana navyo wanaopewa ubosi kwa mara ya kwanza

Hii haishangazi sana kuona watu ambao wanapata cheo kwa mara ya kwanza kukutana na vikwazo vya hapa na pale. Utafiti uliofanya na watu fulani umebaini kuwa kinachotokea ni kwamba wengi au karibu asilimia 50 ya mabosi wapya kabisa hawajawahi kufanyiwa mafunzo ya kupata nafasi hizo kama mameneja. Na hapa soma uone vyanzo vya vikwazo vyao […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA TIFFAH LIVE!

Staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mzazi mwenzake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wakimtoa mtoto wao, Latiffah Nasibu 'Princes Tiffah'. Sherehe yake ya 40 usipime, Zari, Diamond waandika historia Na waandishi wetu YAMETIMIA! Baada ya kutoonekana sura kwa zaidi ya siku 40 tangu azaliwe, hatimaye mtoto wa mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Latifah...

 

9 years ago

Dewji Blog

DJ Kflip aachia mixtape nyingine kwa youtube isikilize kwa mara ya kwanza hapa

dj kflip

Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)… Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide.

Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga mzigo ndani ya moja ya Hottest radio station inayo kuja kwa kasi toka pande za Rock City, amesema kuwa huo ni mwanzo wa mpango wake wa kuachia Mix Tape kila wiki kupitia Youtube na rasmi ameanza kufanya hivyo wiki hii (leo) yenye historia kwa taifa la Tanzania ambapo taifa linashuhudia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA: WOLPER ANASWA LIVE!

Stori: shakoor jongo
KABANG! Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu, Risasi Jumamosi limesheheni. Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu. Kwa muda mrefu Wolper...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikongwe aona bahari kwa mara ya kwanza

Wiki kadhaa kabla ya kufika miaka 101, Ruby Holt ameona Bahari kwa mara ya kwanza.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Dee afanya hili kwa mara ya kwanza

Young Dee ameelezea furaha yake baada ya kununua gari kwa mara ya kwanza kwa pesa zilizotokana na muziki wake, siku chache baada ya kuachana na kampuni iliyokuwa ikimsimamia. Young Dee alisema katika maisha yake hakuwahi kununua gari kwa kutumia pesa yake. “Jinsi unavyopata maumivu makubwa kila mtu mwisho wake anayapokea tofauti, wengine wanajinyonga, wengine wanakata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani