Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YATAMBULISHA PEPPER ROBOT KWENYE MAONESHO YA UBUNIFU DODOMA


Mratibu wa mradi wa Instant Schools ulio chini ya Vodacom Tanzania Foundation,Christine Lucas (kushoto) akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,Dk Avemaria Semakafu wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya mashindano ya Sayansi na Teknolojia na Ubunifu yaliyoandaliwa na Wizara hiyo kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo.Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania , Jacquiline Materu (kulia) akiwapa maelezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Balozi: Watanzania tumieni vizuri maonesho ya ubunifu ya Oman

WATANZANIA wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea nchini Oman, wametakiwa kuitumia vyema fursa ya kimataifa waliyoipata kwa kufuata vyema miongozo waliyopewa ili ziara yao iweze kuleta tija.

 

10 years ago

Michuzi

UBUNIFU WA KUVUTIA WATEJA katika MAONESHO YA Kimataifa MASCUT OMAN

Warembo kutoka Thailand wakiwa Wametulia nje ya Mlango wa Banda lao ikiwa ni ubunifu wa kuwavutia na kuwafurahisha Wateja wanaoingia katika Banda lao kujionea bidhaa mbalimnali za nchi yao katika Maonesho ya Kimatifa ya Sanaa,ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut-Oman Bunduki ni miongoni mwa zana zinazotumika katika ngoma ya Asili kutoka nchini Moroko. Pichani Wasanii hao wakitumbuiza nje ya banda lao kuvutia wateja kujionea bidhaa mbalimbali za nchi yao katika maonesho ya Kimataifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman

Na Faki Mjaka, Muscat, Oman Serikali na Wadau binafsi wameshauriwa kuwasaidia Wajasiriamali wa Kitanzania ili waweze kuziweka bidhaa zao katika Vifungashio (Package) vyenye mvuto na kiwango cha ubora wa kimataifa. Kufanya hivyo kutawawezesha Wajasiriamali hao kupata soko la Bidhaa zao kwa Wateja wadogo na wakubwa katika nchi mbalimbali duniani. Ushauri huo umetolewa na Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh alipowatembelea Wajasiriamali wanaoshiriki katika Maeonesho ya Kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN

Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZOA VIKOMBE VYA UBUNIFU KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

 Rais mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa  bima ya afya,Ali Othman katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Picha ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonesho ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo  katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ORIFLAME YATAMBULISHA BIDHAA ZAKE KWENYE SOKO LA TANZANIA

Bi. Maznat Yusuph Sinare akieleza namna bidhaa na vipodozi mbalimbali vilivyokuwa na ubora wa kimataifa kwenye uzinduzi wa vipodozi vipya vya kampuni ya ORIFLAME kwenye ukumbi wa ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regenc  Kilimanjaro Hotel jijini Dar es salaam.Kampuni ya Vipozi vya aina mbalimbali vya urembo OriFlame wamefanya maonesho ya Bidhaa zao Tarehe 2.07.2014 katika ukumbi wa Zanzibar katika Hotel ya Hyatt Regency(The Kilimanjaro Hotel).Kampuni hiyo yenye wigo mpana wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Baby Madaha ataka ubunifu kwenye kazi

babyNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu pamoja na muziki, Baby Madaha, amesema sanaa ya sasa inatakiwa kuwa na ubunifu, ili kuweza kufikia katika kiwango cha juu.
Akizungumza na MTANZANIA, Madaha alisema asilimia kubwa ya wasanii wanakuwa hawana ubunifu katika sanaa, kitu ambacho kinawafanya washindwe kufanya vizuri.
“Mashabiki wetu wameendelea sana na wanajua kitu bora na magumashi. Hivyo kwa sasa tunatakiwa tuendeleze ubunifu ili kuweza kuwagusa mashabiki wetu na hata kuwafikia...

 

9 years ago

Bongo5

Nisha kujitupa zaidi kwenye ubunifu wa mavazi

Muigizaji wa filamu, Salma Jabu aka Nisha amesema licha ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu anafungua kampuni yake ya mavazi itakayokuwa ikiwavalisha mastaa mbalimbali. Nisha ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshaanza kuwavalisha wanamitindo kama Hamisa Mobeto ili kuonesha uwezo wake. “Mitindo ni kitu ambacho nakipenda sana na ni ndoto yangu ya kwanza kabla sijawa muigizaji. […]

 

10 years ago

GPL

SEKTA YA UMMA YAOMBWA KUIMALISHA UBUNIFU KWENYE SAYANSI HAI‏

  Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwenye  semina ya siku mbili iliyohusu matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuinua uchumi kupitia viwanda na uhifadhi wa mazingira na Sekta ya Umma kuimarisha ubunifu kwenye Sayansi hai.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani