Vurugu, maandamano siku ya May Day
Maandamano na vurugu zimefanyika leo siku ya wafanyakazi duniani nchini Uturuki na maeneo mengine duniani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA3l9VIz4hl92xiFinVw*oVgAZ8hDce9TgTkAbLwFLh7DUmKG4T*qzFLWcN2tNvOpp*nFLzUX8MHLnXr7s4djCfk/PicMonkeyCollage10.jpg?width=650)
UKAWA, MAANDAMANO, BMK KUSABABISHA VURUGU
Na MWANDISHI WETU
ZIPO dalili kuwa wito wa viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa kutaka watu kuandamana nchi nzima na migomo isiyoisha, kwa shinikizo la kutaka kusitishwa kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kunaweza kusababisha vurugu zitakazowalazimu polisi kutumia mabomu ya kutoa machozi ili kuzidhibiti. Hali hiyo inatokana na mkanganyiko uliotokea baada ya kauli ya Mwenyekiti...
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Maandamano Marekani: Je Trump anaweza kutuma majeshi kudhibiti vurugu?
Wakati maandamano yakishika kasi nchini Marekani, Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ametishia kutuma majeshi yake ili kutuliza ghasia.
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Maandamano Uingereza: Zaidi ya watu 100 wamekamatwa baada ya kutokea vurugu jijini London
Polisi walivamiwa na waandamanaji, ambao wengine walikuwa wanaharakati wa mrengo wa kulia baada ya maelfu yao waliokuwa wamekusanyika kusema kuwa wanalinda masanamu yasiharibiwe.
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Maandamano yaingia siku ya 2 Malaysia
Maelfu ya watu wanashiriki katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga serikali kwenye mji mkuu wa Malaysia Kuala Lumpur.
10 years ago
BBCSwahili02 May
Maandamano yasitishwa kwa siku 2 Burundi
Waandamanaji nchini Burundi wanaompinga rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu wameagiza kusitishwa kwa maandamano hayo
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Maandamano yaingia siku ya pili Burundi
Wanaharakati nchini Burundi wameendelea na maandamano wakipinga uteuzi wa Rais Nkurunzinza kuwania awamu ya tatu
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Maandamano makubwa Siku ya Wanawake leo
Siku ya Kimataifa ya Wanawake, inaadhimishwa kitaifa mkoani Morogoro leo, wakati mjini Dar es Salaam, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete atapokea maandamano ya wanawake kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vurugu bungeni ‘kifungo’ siku 10
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba atakayevunja, kujaribu kuvunja utaratibu, amani na utulivu au kuonesha tabia za vurugu kwa kutumia nguvu na mabavu ndani ya ukumbi wa mikutano, atakabiliwa na adhabu ya kuzuiwa vikao kwa siku 10.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s72-c/DSC_1394.jpg)
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MutXCvJoyvI/VNIzKNk7lZI/AAAAAAAHBrk/wVlaEEYxUc0/s1600/DSC_1394.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania