Waandishi wabanwa kesi ya Wachina
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwa vyombo vya habari, kutoandika majina ya mashahidi katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilion 5.4, inayowakabili raia watatu wa China.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 May
Kesi ya Wachina ya meno ya tembo Mei 13
MASHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, inayowakabili raia watatu wa China, wataendelea kutoa ushahidi Mei 13 na 14 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Habarileo06 Dec
Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL
KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho
9 years ago
Habarileo09 Sep
Wachezaji wa kigeni wabanwa
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema mchezaji yeyote wa kigeni ambaye hatalipiwa Dola za Marekani 2000 (takriban Sh milioni 4.2) hatacheza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Mafunzo wabanwa na KMKM
TIMU za Maafande wa Chuo cha Mafunzo na wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM ), zimetoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja uliochezwa Uwanja wa Amani mjini hapa.
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawaziri wabanwa bungeni
10 years ago
Habarileo23 Mar
‘Maaskofu mgawo Escrow wabanwa’
MWENYEKITI wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo ameibuka na kutaka Jukwaa la Kikristo (TCF) kutoa tamko juu ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya maaskofu waliotuhumiwa kupokea mgawo wa fedha za Escrow.
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Ugaidi: Wakimbizi Syria wabanwa
10 years ago
Habarileo13 Nov
Uongozi Shirika la Reli wabanwa
BODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) wamebanwa na kutakiwa kuhakikisha kuwa kampuni hiyo inajiendesha na kufutiwa ruzuku ya serikali ifikapo mwaka wa fedha wa 2016/2017, vinginevyo waachie nafasi zao.