Waasi waliojisalimisha wauawa Burundi
Mashahidi kadhaa wameiambia BBC kuwa Wanajeshi wa Burundi wamewaua waasi waliojisalimisha kwa Jeshi la nchi hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Wanajeshi wawaua waasi waliojisalimisha
Wakaazi nchini Burundi wameiambia BBC kwamba walishuhudia wanajeshi wa serikali wakiwaua waasi waliojisalimisha.
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Waasi 11 wauawa nchini Mali
Wanajeshi wa Ufaransa wanasema kwamba wamepambana na waasi katika mji wa Tumbuktu Kaskazini mwaMali ambapo wapiganaji kumi na moja wameuawa.
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Makamanda wa Iraq wauawa na waasi wa I-S
Makamanda wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la Iraq wameuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya gari.
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Waasi 100 wauawa Kordofan,Sudan
Jeshi nchini Sudan linasema kuwa limewaua zaidi ya waasi 100 kwenye jimbo la Kordofan Kusini ingawa waasi wamekana madai hayo.
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Askari na Waasi wauawa kwa Bomu Syria
Waasi nchini Syria na askari wa usalama wameripotiwa kuuawa katika mapigano katika mji ulio kaskazini mwa Nchi hiyo, Aleppo.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Waasi Burundi wapanga kumng’oa Rais Nkurunziza
Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo madarakani.
10 years ago
Mwananchi16 May
Nkurunziza atua Burundi, waasi watatu wakamatwa
>Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amewasili jijini Bujumbura ikiwa ni siku mbili baada ya waasi kutangaza kumuondoa madarakani na tayari majenerali watatu waliotangaza mapinduzi wamekamatwa huku wanajeshi 12 wakiuawa.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
Watu 7 wauawa kinyama Burundi
Watu wenye silaha wamewapiga risasi na kuwauwa watu saba usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu wa Burundi- Bujumbura
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania