Wafanyakazi Muhimbili walilia Sh800 mil zao
Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wameulalamikia uongozi wa hospitali hiyo kwa kushindwa kuwalipa fedha zao na kuzitumia kinyume na utaratibu uliopangwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Dec
Mil. 11 za sherehe zaokolewa Muhimbili
UONGOZI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Sayansi na Tiba Muhimbili(Muhas) umefuta sherehe ya kujipongeza kwa ajili ya wanataaluma na wageni wengine waalikwa baada ya mahafali ya tisa ya chuo hicho yaliyofanyika jana.
11 years ago
Habarileo12 Oct
Muhimbili watenga mil 80/- za utafiti
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imetenga Sh milioni 80 katika mwaka 2014/2015 kwa ajili ya kufanya utafiti kwa lengo la kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa hospitalini hapo.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wahasibu Muhimbili wadaiwa kuomba rushwa mil. 1.5
WAHASIBU wasaidizi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 1.5.
10 years ago
Mtanzania13 May
Wafanyakazi Muhimbili walazimika kuchangia damu
TUNU NASSOR NA MWANTUMU SAADI,
DAR ES SALAAM
KUTOKANA na uhaba wa damu ulioikumba Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa, wamelazimika kuchangia damu kunusuru maisha ya wagonjwa .
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa hospitali hiyo, Aminieli Aligaesha, alisema wamelazimika kutumia wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa kama chanzo cha ndani na kwa siku ya jana...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Tughe: Muhimbili tatueni changamoto za wafanyakazi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe), John Sanjo, ameutaka uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, kuhakikisha wanatatua haraka changamoto na...
9 years ago
Michuzi09 Dec
WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI


11 years ago
GPLWAGONJWA WASUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI
9 years ago
StarTV24 Nov
Upunguzwaji Wafanyakazi Acacia Serikali yaombwa kunusuru ajira zao
Chama Cha wafanyakazi wa Tasnia ya Nishati na Madini nchini NUMET kimeiomba serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dokta John Pombe Magufuli kuingilia kati na kunusuru ajira za wafanyakazi zaidi ya 1000 wanaotarajia kupunguzwa mwishoni mwa mwaka huu katika Kampuni ya ACACIA
Chama hicho kimelazimika kuiomba serikali kutokana na kitendo cha kampuni hiyo kuandaa mpango wa kupunguza wafanyakazi ambao wanategemea kuendesha maisha yao kutokana na kufanya kazi katika mgodi huo
Katibu mkuu wa...
10 years ago
Michuzi
MH.SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA,WAELEZA CHANGAMOTO ZAO.


