Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafundisheni watoto kuheshimu chakula nyakati za kula

Leo nina mada ambayo ni nyepesi lakini ina faida na maana kubwa kwenu wajukuu zangu. Najua kila mmoja wenu anapenda kula chakula ingawa wapo baadhi ya watoto hawapendi kula chakula.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mr Nice azungumzia tukio la kula chakula chenye sumu

11821809_1675578409323823_1553764896_n

Mr Nice amesema hakupenda kulichukulia tukio la kula chakula chenye sumu kama kiki ya muziki kutokana na tukio hilo kutaka kumtoa maisha yake.

11821809_1675578409323823_1553764896_n

Akizungumza na Nje ya Box ya Planet Bongo, EA Radio jana, Mr Nice alisema mpaka anapona hakujua ni nani aliyefanya tukio hilo na ni kwa nia gani.

“Yeah sikutaka kuongea na vyombo za habari kwa sababu ni kitu ambacho kilikuwa moja kwa moja kinaathiri maisha yangu,” alisema.

“Nikaona huu ni wakati wa kukaa na kutatua matatizo yangu kwa kuangalia ni...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka Kula Chakula Chenye Sumu Yeye na Steve Nyerere

Wasanii wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ na Steve Nyerere wikiendi iliyopita inasemekana walikula chakula chenye sumu,ambapo mpaka sasa Steve Nyerere bado amelazwa hospitali.

B amezungumza na 255 kupitia XXL na kusema hivi:

‘’Siku ya Ijumaa tulikula kitimoto na vyakula tofauti tofauti sasa asubuhi yake ndio tumbo likaanza kuniuma niliendesha sana nikaenda hospitali nikapewa dawa nilivyokunywa hazikunisaidia usiku wake tumbo likaniuma sijawahi kuumwa tumbo kama nilivyoumwa siku ile...

 

9 years ago

MillardAyo

Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video)

Tunasema asante kwa teknolojia kila siku kwa sababu ya vitu vizuri ambavyo tunakutana navyo vikikufikia na kurahisisha mambo mengi kwa sababu tu wataalam wamekaa na wamebuni kitu kizuri !! Unaambiwa ni suala la kukaa tayari wakati wowote kuanzia sasa tutakuwa na simu zenye uwezo wa kufanya scanning chakula na kutoa majibu kwamba kwenye chakula kuna […]

The post Mambo ni rahisi zaidi.. utaweza kupima chakula kwa simu yako kabla ya kula, hapo vipi?.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE YUKO HOI, HAZUNGUMZI, AMEGOMA KULA CHAKULA NA KUNYWA DAWA, WASANII WENGI WAMEMTENGA — MAMA MZAZI

Mama mzazi wa muimbaji wa muziki wa dance, Banza Stone amesema mwanae afya yake imezidi kuzorota na sasa amegoma kula chakula wala kunywa dawa.
Akiongea na Ripoti ya kipindi cha Ubaoni cha EFM juzi, mama huyo alisema hadi siku hiyo Banza alikuwa amegoma kula kwa siku tatu mfululizo.Aliongea kuwa pamoja na kuugua hivyo bado wasanii wenzake wameshindwa kwenda kumjulia hali.“Mpaka sasa sijamuona mtu yeyote aliyekuja kumshughulikia na kumwangalia, wamemwacha hivi hivi. Na mimi siwezi kuwalaumu...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la kutopenda kula kwa watoto

Licha ya ukweli kuwa wakati wa mlo huwa ni wa furaha lakini kwa wazazi walio wengi hususan wenye watoto wadogo huwa ni matatizo. Nazungumzia wazazi wenye watoto wasiopenda kula.

 

5 years ago

Michuzi

Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake

Wafanyakazi wa hoteli ya Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake, hii ni kuona mchango wa wanawake katika jamii.Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli Johari Rotana, Amina Kapya (kulia) na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi mara baada ya hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake...

 

10 years ago

CloudsFM

DIVA LOVENESS KULA X-MASS NA WATOTO YATIMA

Mtangazaji wa Clouds Fm,Diva Loveness anatarajia kula sikukuu ya X-Mass na watoto yatima wa kituo cha Homeless Children kilichopo Kigamboni,jijini Dar chenye jumla ya watoto 130.
Diva alisema kuwa pamoja na kula nao pia atatoa misaada na vifaa mbalimbali vya shule kwa watoto hao.

Mtangazaji huyo ambaye ameandaa tukio maalum kwa ajili ya kuwakumbuka na kusherehekea maisha ndugu zetu waliotutangulia mbele iitwayo lighters itakayofanyika Club Maisha amesema asilima 25 ya mapato itapelekwa kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Wafundisheni wanafunzi matumizi bora ya mitandao’

WALIMU mkoani hapa wametakiwa kushirikiana na wazazi katika kuwafundisha wanafunzi matumizi mazuri ya mitandao hususan simu za mikononi katika mazingira yasiyoharibu maadili yao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu darasa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani