Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliochoma moto vifaa vya kura mbaroni

POLISI mkoani Rukwa inawashikilia watu kumi kati ya 200 wanaodaiwa kuteketeza vifaa vyote vya kupigia kura kwa kuvichoma moto yakiwemo makasha 45 ya kuhifadhia kura, wakidai kuwa yalikuwa na kura ambazo tayari zilikuwa zimeshapigwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Waisraeli waliochoma moto Mpalestina kuhukumiwa

Mahakama moja nchini Israel imewapata waisraeli wawili na hatia ya kumuua kijana wa kipalestina mwaka wa 2014.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wakamata’ vifaa vya kupigia kura

WAKAZI wa kata za Makuyuni na Kilema Kati wilayani Moshi Vijijini wamekamata baadhi ya masanduku na vifaa vya kupigia kura katika Jimbo la Vunjo juzi vinavyodaiwa kuwa ni kwa ajili ya kusaidia ushindi kwa baadhi ya wagombea.

 

10 years ago

Habarileo

Wachoma vifaa vya kupigia kura

WATU wapatao 200 wakiwa na silaha za jadi wameteketeza vifaa vyote vya kupigia kura kwa kuvichoma moto yakiwemo makasha 45 ya kuhifadhia kura wakidai kuwa yalikuwa na kura ambazo tayari zilikuwa zimeshapigwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Vifaa vya daftari la kupiga kura tatizo

Wakati panzia la majaribio ya uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya mashine za kisasa za Biometric Voter Registration (BVR), likifunguliwa jana katika Jimbo la Kawe, Wilaya ya Kinondoni, mwitikio wa wananchi ulikuwa mdogo.

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa vya kuzima moto bila maji vyagharimu mil. 200/-

KIKOSI cha Zimamoto na uokoaji nchini, kimenunua vifaa 100 vitakavyosaidia kuzima moto bila kutumia maji vyenye thamani ya Sh milioni 200.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wateketeza vifaa vya kupiga kura Sumbawanga

Watu wapatao 200 wameteketeza  kwa moto vifaa vya kupiga kura  huku wengine wakiwajeruhi wasimamizi wa uchaguzi kwa kile kinachoonekana kuwa ni hofu ya kusambazwa kwa kura feki.

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif alitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kujua waliochoma moto ofisi ya CUF jimbo la Dimani

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kuwajua watu waliohusika kuchoma moto ofisi za chama hicho jimbo la Dimani na baadaye wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
Maalim Seif amesema hayo wakati alipotembelea ofisi hizo zilizoteketezwa kabisa kwa moto, tukio lililofanywa na watu wasiojuilikana juzi usiku, huko katika eneo la Kisauni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF amesema tukio hilo ni la kusikitisha...

 

5 years ago

CCM Blog

NEC KUTUMIA VIFAA KINGA VYA CORONA KATIKA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA




Na Richard Mwaikenda


TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imenunua vifaa kinga kujihadhari na Corona wakati  wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na uwekaji wazi Daftari unaotarajiwa kuanza Aprili 17 mwaka huu.


Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni.


"Baada ya mashauriano  na wadau wakuu, Tume imeona...

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani