Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WAASWA KWENDA SAMBAMBA NA TEKNOLOJIA

  Balozi Mwanaidi Majaar(kulia) akijadiliana jambo na mgeni rasmi wa mahafali ya 13 ya shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Moshi vijijini, Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kushoto) mara baada ya kutembelea chumba cha mafunzo ya Kompyuta katika shule hiyo.
 Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru wilayani Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Georgia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Faustine Munishi kwenda sambamba na Mwaitege


MWIMBAJI wa Kimataifa anayeishi, Kenya Faustine Munishi anatarajia kumsindikiza mwenzake Bonny Mwaitege anayetarajia kuzindua albamu tatu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama, Munishi ataungana na Mwaitege, uzinduzi utakaofanyika Agosti 2 mwaka huu.Msama alisema Munishi ni mojawapo  ya watakaomsindikiza mwimbaji huyo kwa sababu hivi sasa sambamba na Kilahiro na Kwaya ya Wakorintho wapili.  “Uzinduzi  wa  albamu tatu...

 

10 years ago

Bongo5

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia. Hali hii inatokana na kuzinduliwa kwa shindano la kusaka vipaji vya ugunduzi wa program za simu – App Star – mwezi huu. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni […]

 

10 years ago

GPL

VIJANA WAASWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA TEKNOLOJIA‏

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni akiwafafanulia jambo baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Kitivo cha Sayansi ya Kompyuta kuhusiana na  shindano la AppStar linaloendeshwa na kampuni hiyo linalowalenga wataalam wa kutengeneza mobile applications na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslim na safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano hilo ngazi ya...

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Bunda waaswa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Na Ahmed Makongo,

Bunda.

 

Wakulima wa mazao ya nafaka wilayani Bunda mkoani Mara wameshauriwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mifuko ya Pics kuhifadhi vyakula ili visiharibike.

 

Katika uzinduzi wa teknolojia hiyo uliofanyika kijiji cha guta afisa kilimo wa Wilaya ya Bunda Serapion Rujuguru amlisema itawasaidia wakulima kukabiliana na njaa pamoja na kuuza vyakula hivyo kwa bei nzuri.

 

where to get student loans with no credit

Rujuguru alisema kuwa wakulima wengi wamekuwa wakipoteza...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge akifungua rasmi Kongamano la ukuaji wa uchumi unaohimili mabadiliko ya Tabia Nchi  kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal,itakayofanyika kwa muda wa  siku mbili katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Dkt Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto), akizungumza na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Teknolojia yaharibu wanafunzi

MABADILIKO ya sayansi na teknolojia katika nyanja ya mawasiliano nchini yametajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa kuharibu uelewa wa wanafunzi katika kuandika barua mbalimbali zikiwemo za kuombea...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi waaswa kusoma sayansi

kinanaNa Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi waaswa kujali nidhamu

Wanamichezo wanaoshiriki michuano ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (Umisseta) wametakiwa kuzingatia nidhamu, umoja na mshikamano ndani na nje ya uwanja katika michuano hiyo iliyoanza jana kwenye viwanja vya Shirika la Elimu mjini hapa.

 

9 years ago

Michuzi

Walimu waaswa kuwa wazalendo kuwafundisha wanafunzi nchini

Afisa Elimu Vifaa na Takwimu Halmashauri ya Kibaha Vijijini Doris Semkiwa ambaye anamwakilisha Afisa Elimu wa Halmashauri ya Kibaha Vijijini akitoa mada kwa Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani Kibaha Vijijini mkoani Pwani.Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani