Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaharakati, walimu watoa somo Bunge la Katiba

WANAHARAKATI mbalimbali nchini wamewataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa makini na kutunga kanuni ambazo hazitawanyima uhuru wa kupaza sauti makundi yaliyoko pembezoni. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kilio cha wanaharakati kwa Bunge la Katiba

Mtandao wa wanaotetea Haki za Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, (THRDc) umekutana na wanahabari mjini Dodoma na baadaye wajunge wa Bunge la Katiba kuelimisha na kubadilishana uzoefu juu ya haki za kundi hilo la jamii kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati wa Urusi watoa masharti

Wanaharakati wanaiounga mkono Urusi wametangaza masharti mapya ambayo wanahitaj yatekelezwa kabla ya wao kuondoka kutoka kwa majengo ya serikali

 

11 years ago

Tanzania Daima

EWURA CCC yawapa somo watoa huduma

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watoa huduma za nishati na madini kutumia maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuleta chachu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaharakati wapongeza Katiba inayopendekezwa

Profesa Ruth MeenaWANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao kuvua itikadi za dini na vyama vyao na kuvaa joho la jinsia na uzalendo.

 

10 years ago

Michuzi

Twiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga

 Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC),  Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph. Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu watakiwa kuweka mazingira bora somo la hesabu

Walimu wa somo la hesabu nchini wameshauriwa kutumia njia mbadala za michezo ya kitamaduni kufundisha somo hilo ili kuwavutia wanafunzi wengi kujifunza zaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa

Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto) Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo. Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani