Wanamgambo wawateka watoto 10 Mali
Maafisa wa kijeshi nchini Mali wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha wamewateka nyara watoto kumi na kuwaua wawili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Feb
Waasi wa Mali wawateka nyara watu 20
Waasi Kazkazini mwa Mali wamekabiliana na wapiganaji wanaounga mkono serikali,kwa mda na kuwateka nyara takriban watu 20.
10 years ago
BBCSwahili21 May
Ufaransa: Tumeua wanamgambo wawili Mali
Vikosi maalum kutoka Ufaransa vimewauwa viongozi wawili wa wanamgambo kaskazini mwa Mali, imesema wizara ya ulinzi.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mali:Kuwashtaki wazazi wa watoto watoro
Mali imesema inapanga kuwashitaki wazazi ambao wanawasafirisha watoto wao wadogo kwenda Ulaya kama wahamiaji,
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Pakistan:Wanamgambo kifungoni
Wanamgambo wa Taliban waliohusika na shambulizi la miaka mitatu iliyopita dhidi ya Malala Yousafzai wahukumiwa kifungo
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Marekani yashambulia Wanamgambo wa IS
Ndege za Marekani zimeshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic state kaskazini mwa Iraq
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Zaidi 28 wauwawa na wanamgambo Kenya
Polisi nchini Kenya wanasema kuwa wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Al Shabaab wamewauwa kwa kuwapiga risasi zaidi ya watu 28 waliokuwa wakisafiri kwenye basi moja karibu na mpaka wa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Wayahudi waandamana dhidi ya wanamgambo
Maelfu ya watu nchini Israeli wameshiriki kwenye maandamano wakiitaka serikali kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya Wayahudi wanaotajwa kuwa wanamgambo.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Iraq:Marekani yawashambulia wanamgambo
Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa inaendelea kuwashambulia wanamgambo wa taifa la kiislamu kazkazini mwa Iraq.
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wanamgambo wapuuza amri ya Ukraine
Wanamgambo wenye mwelekeo wa Urusi wameendelea kuyakalia majengo ya serikali ya Ukraine
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania