Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi nawaomba, tudumishe amani.

Wananchi dumisha amani Malenga naja kuleta, nina wema wa  karima, Mtima watetema, maini yangu yachoma Naomba kutakata, ukweli nitausema Wananchi nawaomba, tudumishe amani.  

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Watanzania tudumishe amani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania wote kudumisha amani, mshikamano na upendo ili kudumisha matumaini ya maendeleo kwa vizazi vijavyo.

 

9 years ago

Bongo5

Nawaomba radhi mashabiki wangu sitaweza kutoa collabo yangu na Jose Chameleone Ijumaa hii — Barnaba

Barnaba Classic ni msanii mwingine aliyekuwa ameahidi kuachia wimbo mpya wiki hii, ‘Nakutunza’ ambao ni collabo yake na Jose Chameleone wa Uganda. Baada ya kupata nafasi ya kurekodi na Chameleone aliyekuja nchini hivi karibuni, Barnaba hakutaka kupoteza muda, alitangaza kuwa tarehe 30 Oct ndio angeiachia single hiyo. Akizungumza na Bongo5 leo, Barnaba amewaomba radhi mashabiki […]

 

9 years ago

Mwananchi

Tunawapongeza wananchi kwa kulinda amani

Mwaka 2015 ulipoanza Watanzania walikuwa wamegawanyika kutokana na matukio mengi ya kisiasa yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2014.

 

9 years ago

StarTV

Samia awahimiza wananchi kuendeleza amani

Mgombea mwenza wa kiti cha Urais wa Chama cha mapinduzi CCM Samia Suluhu amewaomba wananchii kote nchini kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo vya usalama pindi wanapoona  wageni wasiokuwa na taarifa zao katika kuelekea katika uchaguzi mkuu.

Samia ameyasema hayo alipokuwa akimaliza ziara yake ya kuomba kura pamoja na kunadi ilani ya uchaguzi ya chama hicho katika mkoa wa simiyu katika wilaya ya Maswa.

Katika kiwanja cha nguzo nane wilaya ya maswa baadhi ya wananchii wanakusanyika kwa...

 

9 years ago

StarTV

Samia awatahadharisha wananchi kutunza amani

Chama cha Mapinduzi  CCM kupitia Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais Samia Suluhu amewataka wananchi kulinda na kutunza amani iliyopo katika kipindi hiki cha Kampeni na Uchaguzi nchi nzima ili kuepuka kumwaga damu kama zilivyo nchi nyingine.

Samia ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara ulifanyika sirari,Tarime Mkoani Mara alipokuwa akifanya kampeni za kuomba kura pamoja na kunadi Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho.

Mara baada ya viwanja vya kata ya sriar samia alipata nafasi ya kufafanua...

 

9 years ago

GPL

LUBUVA: WANANCHI MSIHOFU UCHAGUZI UTAKUWA WA AMANI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akiwa na makamishna wa tume hiyo wakati akisisitiza jambo kwenye mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Makamishna wa Tume hiyo wakiwa bize kwenye mkutano huo.…

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KULINDA AMANI YA NCHI - CP CHAGONJA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
JESHI la Polisi limewataka wananchi kuendelea na utulivu kama walivyoonyesha wakati wa upigaji kura na hatimaye kupatikana katika siku ya uampishwaji wa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamishina wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi hilo, Paul Chagonja amesema kuwa jeshi la polisi limeridhishwa na utulivu uliokuwepo wakati wa upigaji kura, na utulivu huo umeweza kufanya uchaguzi kwenda salama na hatimaye...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Wananchi lindeni amani kipindi cha sikukuu’

Polisi mkoani hapa imewataka wananchi kufuata sheria za nchi ili kuimarisha usalama wao na mali katika kipindi cha Krismas na Mwaka Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani