Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaopika gongo Kitunda kukiona

SERIKALI ya Mtaa wa Kitunda Kati wilayani Ilala, inatarajia kufanya operesheni ya kukamata watu wanaopika na kuuza pombe haramu ya gongo. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya wakazi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Saada Mkuya aonya ‘wanaopika’ takwimu

>Serikali imetoa wito kwa mashirika na wadau wa maendeleo nchini kupuuza takwimu zinazotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii, badala yake wafuate zile zinazotolewa na ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kuwa zimefanyiwa utafiti na zinatambulika kisheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kitunda, polisi kupambana na uhalifu

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Kitunda Gold Mining, iliyopo Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, imeahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kupambana na vitendo vya kihalifu kwenye msitu wa Kitunda...

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato watakaokeketa watoto Kitunda kufutwa

MCHUNGAJI wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Kitunda, Sadick Lukinga, amewaonya washiriki wa kanisa hilo walioko katika mtaa huo, ambao watashiriki kuwakeketa watoto wao wa kike watafutwa ushirika wa kanisa hilo.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA.!

 Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam  na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO  kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo,bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa'',alilalama mmoja wa wakazi  wa eneo hilo.
Wakielezea kwa masikitiko makubwa juu ya tatizo hilo,Wananchi hao wamesema kuwa hawakupata taarifa...

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA TANESCO LISIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA

Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo, bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi hao.''hatuna umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa'',alilalama mmoja wa wakazi wa eneo hilo. Wakielezea kwa masikitiko makubwa juu ya...

 

5 years ago

Michuzi

BILIONI 2.2 ZAREJESHA USAFIRI WA KIVUKO KWA WANANCHI WA KITUNDA NA MANISPAA YA LINDI



Kivuko cha M.V Kitunda kikiendelea kutoa huduma za usafiri wa abiria, mizigo na magari katika Manispaa ya Lindi kama kilivyokutwa na kamera ya Idara ya Habari MAELEZO hivi karibuni.
Na Mwandishi WetuSEKTA ya Uchukuzi inatoa mchango mkubwa katika shughuli za maendeleo ya uchumi na pia ni mwezeshaji mkubwa wa sekta za uzalishaji, biashara na usambazaji wa bidhaa na huduma katika soko la kitaifa na kimataifa.
Usafirishaji wa bidhaa na huduma katika masoko, hutegemea zaidi mfumo wa uchukuzi wenye...

 

5 years ago

CCM Blog

WAITARA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI KITUNDA- MWEMBENI, KIVULE UKONGA.

 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara akikagua sehemu ya barabara Km 3.2 iliyojengwa kwa lami kutoka Kitunda hafi Mwembeni katika Barabara ya Banana hadi Kivule, Jimbo la Ukonga Dar es Salaam. Barabara hiyo inayojengwa na Kampuni ya Nyanza itapunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa Kitunda, Kivule na Msongola. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA 


 

9 years ago

GPL

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR



 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

 wananchi wakiangalia ajali...

 

10 years ago

Dewji Blog

TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo

tanesco

Na Mwandishi wetu

Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.

Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani