Wanasiasa marufuku kuongoza ushirika
MKOA wa Tabora umepiga marufuku viongozi wa kisiasa kuongoza vyama vya ushirika vya wakulima kwa madai ya kutanguliza maslahi yao badala ya kuwatetea wakulima. Hayo yalibainishwa na wajumbe wa Kamati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 May
Wanasiasa,watawala kuondolewa uongozi Ushirika
SERIKALI imetoa waraka wa kuwaondoa viongozi wa siasa na serikali katika uongozi wa vyama vya ushirika katika ngazi zote ili kuondoa migogoro ya kimaslahi.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s72-c/download+(3).jpg)
DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA MKOANI TABORA
![](http://1.bp.blogspot.com/-zEPteeozpoo/U5ib1O3LSqI/AAAAAAAFp04/hUqnEU8WYmo/s1600/download+(3).jpg)
IGP Mangu amemteua Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu (pichani) ambaye ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai hapa nchini kuongoza timu. Timu hiyo ya upelelezi kutoka makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam tayari...
9 years ago
StarTV22 Aug
Wanasiasa wapigwa marufuku kutumia maeneo ya shule kupiga kampeni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tarime na msimamizi wa uchaguzi Venance Mwamengo amevitaka vyama vya siasa kuacha kutumia maeneo ya shule na vyuo kuendesha mikutano yao ya kampeni ili kuepuka kuvuruga masomo kwa wanafunzi husika.
Amesema hayo wakati mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko alipochukua fomu ya kuwania ubunge.
Mwamengo amesema kwamba hata ruhusu ratiba ya chama chochote cha siasa, kuendesha mikutano yao ya kampeni katika maeneo ya taasisi yoyote ya...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Kanuni za kuongoza #Bunge la #Katiba zawasilishwa, porojo za kupoteza muda sasa marufuku [VIDEO]
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wLvlG0P4Zf8/XuG7j46sAlI/AAAAAAAEHlg/Pm3R3n-AeLAWBZva6ZIPX7gwBnej6MovQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-8-2-768x458.jpg)
MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-wLvlG0P4Zf8/XuG7j46sAlI/AAAAAAAEHlg/Pm3R3n-AeLAWBZva6ZIPX7gwBnej6MovQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-8-2-768x458.jpg)
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/PICHA-1-4.jpg)
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020
5 years ago
MichuziDC TUNDURU AUFUNDA USHIRIKA
Ndugu Mtatiro ametoa rai hiyo leo alipokuwa akifunga mafunzo ya siku ya tatu ya vyama vya ushirika na vyama vya akiba na mikopo yaliyoandaliwa na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Shirika la Ukaguzi na usimamizi wa...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Zambi ahimiza ushirika
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
JK: Hatulipi madeni ya ushirika
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali yake haitalipa madeni ambayo baadhi ya vyama vya ushirika nchini vinadaiwa na mabenki hadi kwanza wezi walioyasababisha wakamatwe na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria....
9 years ago
Habarileo16 Sep
Wanaoua ushirika kukiona -Samia
MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema ilani ya chama hicho ya awamu ya tano, itawaondoa watendaji wote wanaotumia vyama vya ushirika kwa manufaa yao badala ya wakulima.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10