Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanavyuo Zanzibar wapata ajali Dodoma

WANAMICHEZO wa Chuo Kikuu cha Zanzibar na State University Zanzibar wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupinduka wakati wakitoka kwenye michezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) juzi. Pamoja na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wabunge wa CUF wapata ajali Dodoma

Na Khamis Mkotya, Dodoma

WABUNGE wawili wa Chama cha Wananchi (CUF) wamepata ajali walipokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kushiriki Bunge la bajeti linaloendelea.

Wabunge hao, Mbunge wa Wete, Mbarouk Salim Ally na Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Omar Juma, walipata ajali hiyo ajana asubuhi katika eneo la Mikese mkoani Morogoro, baada ya gari lao kupinduka.

Mbunge wa Ole, Mohamed Rajabu Mbarouk (CUF), alithibitisha wabunge hao kupata ajali na kueleza kuwa tayari mipango ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanavyuo Dodoma waaswa kujali nafasi waliyonayo

004828

Mchg. Casey Kalaso (kulia) kutoka Zambia akitoa mafundisho kwa wanavyuo waliohudhuria mkesha wa kusifu na kuabudu (Campus Night) uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa Chimwaga, mjini Dodoma. Kushoto ni Mchg. Rodgers Namwenje ambaye alikuwa mkalimani. (Picha na Irene Bwire).

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya juu vya mkoa wa Dodoma watumie fursa waliyonayo kuisaidia nchi ya Tanzania isonge mbele na kufikia uchumi wa juu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msafara wa RC Geita wapata ajali

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Geita, Seveline Kahitwa, amejeruhiwa vibaya na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, katika ajali iliyotokea juzi Kijiji cha Bugulula. Katika...

 

11 years ago

GPL

YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO

Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro. Basi hilo limepata ajali likitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jana. Taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo. ...

 

9 years ago

Michuzi

Msafara wa Spika wapata ajali Njombe

Gari ya ziada katika msafara wa Spika wa Bunge ikiwa imepinduka wakati wakiwa njiani kuelekea katika mazishi ya Marehemu Deo Filikunjombe huko Ludewa. Ajali hiyo imewahusisha Mlinzi wa Spila, Alphonse Mwakasege, Naibu Katibu wa Spika,Herman Berege na   Mbunge wa Mafia anaemaliza muda wake, Mhe Abdulkarim Shah. Abiria wote wamepata majeraha madogo madogo na waliokolewa katika eneo hilo na Mhe William Lukuvi, Mb na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi. Picha kwa hisani ya Ofisi ya...

 

10 years ago

GPL

MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI

Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi. Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali ukihusisha magari mawili ya msafara wa kiongozi huyo ambayo jumla yake yalikuwa saba yalipogongana na lori lenye tela.  Akizungumza na mtandao huu, Mkurughenzi wa Habari wa CUf, Adam Kambaya alisema  iongozi wawili wa CUF, katibu wa wilaya ya...

 

10 years ago

GPL

MONALISA, BANANA WAPATA AJALI KAZINI

HAMIDA HASSAN/Mchanganyiko MASTAA wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’, Banana Zoro, Sandra, Mama Abdul na wenzao hivi karibuni walipata ajali walipokuwa kwenye maandalizi ya filamu hiyo kwenye mbuga ya Saadani. Staa wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’. Ajali hiyo ilitokea katika daraja moja dogo mbugani hapo ambapo walikusanyika kwa ajili ya kushuti...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenge wapata ajali, polisi watatu wajeruhiwa

Askari polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani Singida huku waandishi wa habari na wapigapicha wakinyang’anywa vitendea kazi na kiongozi wa Mbio za Mwenge, Rachel Steven.

 

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa Makongoro Nyerere wapata ajali Kigoma

Msafara wa kada wa CCM, Makongoro Nyerere jana ulipata ajali baada ya gari moja kupinduka na kusababisha watu watano kujeruhiwa katika eneo la Mwilamvya, nje kidogo ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani