Waonywa kuacha uvamizi wa migodi
Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini Tanzania, John Bina ameagiza kufunguliwa mara moja kwa mgodi wa dhahabu wa Mattany Ikungi na kutoa onyo dhidi ya mchimbaji madini yeyote atakayekwenda kinyume na sheria zinazosimamia sekta hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Uvamizi ufaransa, 12 wauawa
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Upinzani Nigeria walaani uvamizi
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Uvamizi wasababishia reli maafa
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Rwanda yahusishwa na uvamizi A. Kusini
11 years ago
BBCSwahili22 Aug
Ukraine :Msafara wa msaada ni uvamizi
10 years ago
Mwananchi17 Feb
TAHARUKI: Maswali 10 uvamizi Tanga
11 years ago
Michuzi29 May
26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.
Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Wavuvi waandamana kupinga uvamizi
ZAIDI ya wavuvi 30 wa Kisiwa cha Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, wameandamana hadi kituo cha polisi cha wilaya, kulalamikia kutokuwepo ulinzi katika Ziwa Victoria, kiasi cha kutoa mwanya...
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Uvamizi wa hoteli nchini Mali