Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinga kulazimishwa mafunzo

WANANCHI wa kijijiji cha Kicheba, wilayani Muheza wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Subira Mgalu, kufika kijijini hapi ili awapatie ufafanuzi kuhusu viongozi wao kuwakamata na kuwalazimisha kufanya mafunzo ya mgambo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walalamika kulazimishwa kulazwa Amana

Licha ya Serikali kutangaza kuwa matibabu ya homa ya dengue ni bure, inadaiwa kuwa baadhi ya watoa huduma katika Hospitali ya Amana wamekuwa wakiwatoza wagonjwa Sh30,000 huku wengine wakitakiwa kulazwa kabla ya kupimwa na baadhi wakiambiwa vifaa vimekwisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kulazimishwa kujiuzulu kunapongezwa kwa lipi?

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyogeuka kashfa kubwa nchini, imewaacha mawaziri wanne wakipoteza nyadhifa zao. Kati ya mawaziri hao wanne, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki; Ulinzi na Jeshi la...

 

10 years ago

GPL

JB AELEZA ALIVYOANZA UIGIZAJI KWA KULAZIMISHWA NA MAMA’KE

WIKI iliyopita, tuliishia kwa kueleza jinsi alivyojitosa rasmi kwenye biashara ya kuuza nafaka za mahindi na mpunga akitoa katika mikoa ya Mbeya na Tanga. Tuliishia kwenye kipengele cha alipougua fangasi. Je, nini kilifuata? Endelea sasa hapa......http://bit.ly/1Vd9Uek

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Amchukua Yule Binti Alietoroka Kwao Kwa Sababu ya Kulazimishwa Kuolewa

"Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na  milipata kuskia story ya huyu binti hapa kwenye picha!

Kuwa ametoroka kwao Tanga kuja Dar kwa sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Wataalamu wa Mafunzo ya Ujasiriamali Wawapatia Mafunzo Wanakijiji wa Kitogani Zanzibar.

Kaimu Mkuu wa Taaluma wa Chuo cha Fedha Chwaka Zanzibar Dkt. Iddi Salum Haji akitoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali wa Kijiji cha Kitogani kilichopo Wilaya ya Kusini UngujaKaimu Mkuu wa Idara ya Masomo ya Jumla na Mafunzo Mafupi Zanzibar Nd. Said Mohammed Khamis akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo hayo kwa Wajasiriamali wa Kijiji hicho.Baadhi ya Wajasiriamali waliohudhuria katika mafunzo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Wapinga Makonda kuwa DC.

Wasomi, wanasiasa na wanaharakati nchini, wamepokea kwa hisia tofauti uteuzi alioufanya na Rais Jakaya Kikwete, wa wakuu wa wilaya wapya, huku baadhi wakikosoa uteuzi wa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na wengine wakiunga mkono.

Juzi Rais Kikwete aliteua wakuu wa wilaya wapya 27, akiwamo Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Uhamasishaji na Chipukizi, Makonda, kuwang’oa 19 na kuwahamisha 64.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na NIPASHE jana, badhi walisema Rais Kikwete...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapinga serikali tatu

KAMATI ya vijana wapenda amani na viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa wito kwa vijana kupinga pendekezo la serikali tatu lililomo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mtanzania

Mawakili wa Kipumba wapinga

ibrahimNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAKILI Peter Kibatala na wenzake wanaomtetea Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba na wenzake 30, amewasilisha pingamizi la awali kupinga mashtaka dhidi ya washtakiwa hao.
Pingamizi hiyo iliwasilishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu, Cyprian Mkeha.
Katika kesi hiyo, Profesa Lipumba na wenzake wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama ya kutenda kosa, kufanya mkusanyiko usio halali na kufanya fujo baada ya kutolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani