Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomali wawili mbaroni Tanga

chagonjaNA WAANDISHI WETU, TANGA
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewatia mbaroni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuwa na asili ya Somalia katika msako unaoendelea dhidi ya kundi la wahalifu wa silaha mkoani Tanga.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi mjini hapa, kiliiambia MTANZANIA kuwa watu hao walikamatwa jana saa 5 asubuhi katika eneo la Kijiji cha Amboni Mafuriko, baada ya kuonekana katika eneo hilo wakiwa wanashangaa na hawajui...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wawili mbaroni tuhuma za ujambazi

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali wanazotumia kufanyia uhalifu wilayani Rombo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili mbaroni kwa meno ya tembo

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia Fatuma Athumani (50) na Joel Antony kwa tuhuma za kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo ndani ya gari lenye namba ya usajili...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa nyara za Serikali

Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa gari mali ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakiwa na mizoga miwili ya nyamapori aina ya swala kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili watiwa mbaroni kwa ‘unga’

Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), kimewakamata mkazi wa Ilala na raia wa Nigeria, kwa tuhuma za kukutwa na begi lenye kilo 4.8 za dawa zinazodhaniwa kuwa ni za kulevya.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto

Polisi wa Kanda ya Dar es Salaam wamewakamata watu wawili wenye asili ya Kiasia ambao wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya utekaji nyara.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari

>Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani