Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi ni sehemu ya tatizo Tanzania

WASOMI vijana wanaozidi 10,000, juzi walijitokeza katika usaili ulioitishwa na Idara ya Uhamiaji iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kwa lengo la kuwania nafasi zipatazo 70,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

FoB wameamua kuwa sehemu ya tatizo

BABA yangu ni mmoja wa wajumbe ambao wanajiita FoB. Huu ni mtandao mpya unaoibuka, wa watu wenye ushawishi na maslahi katika Mkoa wa Kagera, ambao wanatumia mfumo wa kompyuta kuwasiliana...

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania ‘yajifagilia’ kuwa na wanawake wasomi

Tatizo la wanafunzi wa kike kutochangamkia au kutoyapenda masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) ni tatizo linalozikumba nchini nyingi duniani zikiwamo zilizoendelea.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania na wasomi wasiokuwa na maadili, wanaofilisi nchi

“..Tunatumia fedha nyingi sana zisizolingana na uwezo wetu kuwasomesha watu wachache, ili baadaye na wao walete faida kubwa kiasi hicho hicho katika nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi, malori wagoma sehemu kubwa ya Tanzania

Nchi imesimama. Hii ndiyo sentensi inayofaa kuelezea tukio la jana la mgomo wa madereva nchini kote ambao kwa mara ya kwanza ulisababisha mabasi yote kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani kushindwa kuondoka.

 

11 years ago

Habarileo

Vitamin A tatizo Tanzania

UKOSEFU wa Vitamin A kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano unachangia mdororo wa elimu, uoni hafifu na vifo kwa asilimia 33.

 

11 years ago

GPL

SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. MFUMO wa uongozi serikalini unanitatiza. Kama Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana wanaweza kuwaona mawaziri kadhaa kuwa ni mizigo kabla kiongozi mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama wanachokitumikia Nape na Kinana hajachukua hatua, nahisi kuna tatizo kubwa! Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tatizo la kutonufaika na madini, tatizo ni viongozi si wawekezaji’

Serikali imetakiwa kusimamia rasilimali za taifa katika hali ambayo itawanufaisha wananchi wote kwani mali hizo ni za wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani