Wasomi: Uamuzi wa Werema ni wa busara
WASOMI na wanasiasa kadhaa nchini wametoa maoni yao kuhusu uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kujiuzulu wadhifa wake juzi, kupitia barua yake kwa Rais Jakaya Kikwete, ambaye naye aliiridhia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Werema: Ni uamuzi wa mkumbo
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Uamuzi wa Yanga kujitoa Mapinduzi haukuwa wa busara
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Ole Telele: Busara zitangulie uamuzi Bunge la Katiba
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-pdEi26YshYg/XoM7V3sqB6I/AAAAAAABL-E/7m92lcuqwuoN1SouIWnT-PoVn8aeq5vagCLcBGAsYHQ/s72-c/magufuli-onyo.jpg)
SHUKRANI JPM KWA UAMUZI MGUMU,WENYE BUSARA KUIWEKA TZ TULIVU KUHUSU KORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pdEi26YshYg/XoM7V3sqB6I/AAAAAAABL-E/7m92lcuqwuoN1SouIWnT-PoVn8aeq5vagCLcBGAsYHQ/s640/magufuli-onyo.jpg)
MKUU wangu wa Nchi, nimeamua kukushukuru kwa uamuzi wako Mgumu wenye Busara wa kuwataka Watanzania waache kutishana kuhusu ugonjwa wa Korona, bali waendelee kuchapa kazi, lakini kwa tahadhari kubwa juu ya Ugonjwa huo hatari uliozikumba nchi masikini na tajiri duniani.
Wakati unatoa uamuzi huo hukukurupuka kwa kuiga marufuku zinazotolewa na viongozi wa nchi mbalimbali, za kuwataka wananchi wao wasitoke nje kwa siku kadhaa wakidhani ndo njia mojawapo ya kuudhibiti ugonjwa huo , bali wewe...
10 years ago
Vijimambo23 Nov
`Werema jiuzulu`
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://sundayshomari.files.wordpress.com/2012/02/werema-hoi-bungeni.jpg)
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu ili kuisafisha serikali dhidi ya kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s72-c/Kafulila.jpg)
Kafulila amchefua Werema
Anusurika kuchapwa makonde bungeni Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s1600/Kafulila.jpg)
Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...
10 years ago
Mtanzania17 Dec
Jaji Werema ajiuzulu
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam,
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ambaye ni mmoja wa watuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow ametangaza kujiuzulu.
Hatua hiyo ya Werema imekuja wakati Watanzania wakiwa bado wanasubiri uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuhuau maamizio manane ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), aliyekagua miamala ya Akaunti ya Tegeta Escrow.
Katika...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
Escrow yamng`oa Werema
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.thisday.co.tz/media/picture/large/Attorney%20General,%20Judge%20Frederick%20Werema.jpg)
Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s72-c/Fredrick-Werema.jpg)
Werema aliteleza - Bomani
NA RABIA BAKARI
SAKATA la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, kuchukizwa na kauli za kuudhi za Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila na kutaka kumchapa makonde, limechukua sura mpya.
Tukio hilo ambalo lilichafua hali ya hewa bungeni, limekuwa likivuta hisia za watu wengi, ambapo limemuibua Jaji Mstaafu Mark Bomani na kusema kuwa, Jaji Werema aliteleza.
![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s1600/Fredrick-Werema.jpg)
Alisema kwa wadhifa na majukumu mazito ya Jaji Werema ndani ya Bunge, hakupaswa kutoa maneno makali wala kujibizana na...