Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wazungumza lugha isiofahamika

Watoto watatu kutoka kijiji cha Barca katika kaunti ndogo ya Aber Wilayani Oyam nchini Uganda wameanza kuzungumza lugha tofauti.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi bora wazungumza

Mwanafunzi Lissa Mimbi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa mtihani wa kidato cha sita katika masomo ya Uchumi, Jiografia na Hesabu (EGM), ni mwanafunzi anayeweza kuwa na kipaji maalumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wazazi wa wanafunzi bora wazungumza

Wazazi wa wanafunzi kumi bora katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka jana, wameeleza kufurahishwa na matokeo hayo, huku mwingine akisema alitabiri mapema ushindi huo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake Tanzania wazungumza na BBC

BBC itafanya mjadala maalum unaohusu wanawake mia moja kutoka sehemu mbali mbali nchini Tanzania

 

9 years ago

Michuzi

MABALOZI IRENE MKWAMA WAZUNGUMZA NA RAIS WA ZANZIBAR



  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

11 years ago

Bongo5

Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo. Nay wa Mitego Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer […]

 

9 years ago

Vijimambo

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA LAPF WAZUNGUMZA NA WAADISHI WA HABARI MKOANI DODOMA

  Meneja masoko na mawasliano wa mfuko wa jamii wa LAPF, Bw, James Mlowe akifafanua jambo wakati alipokuwa anaongea na waandisha wa habari uliofanyika mjini Dodoma.
   Waandishi wa habari wakiwajibika katika ukumbi wa New Dodoma Hotel wakati Meneja masoko na mawasiliano wa mfuko wa jamii wa LAPF James Mlowe  alipokuwa akizungumza kuhusu maendeleo ya mfuko huo ambao unazidi kujitanua kutokana na Miradi mbalimbali ikiwemo ya majengo.Maafisa wa mfuko wa jamii wa LAPF wakiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA DK. SHEIN, IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Baadhi ya maafisa wa idara mbali mbali za Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini...

 

9 years ago

Michuzi

MABALOZI MBALIMBALI WAZUNGUMZA KUHUSU MAJUKUMU YAO KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.), akizungumza na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, kuhusu nafasi na majukumu yao katika uchaguzi mkuu ujao, pamoja na jinsi Serikali ilivyojipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani, huru na haki kwa vyama vyote.Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini,wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb), wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani